Without You Lyrics

Me can live without You
I can't live without you
Macho na moyo vinasema
I can't live without you
Come closer body to body
Siwezi bila wewe
Macho na moyo vinasema
I can't live without you
Come closer body to body
Unachosema it's alright
Nimekuchagua mwenyewe
Utachosema it's alright
Chaguo langu ni wewe
Waliopita kwisha kwisha nini wataongea
Walijitreat kimalengo
Nakusubiri ufike sina mengi ya kuongea
Vitaongea vitendo baby
Sahau kuhusu mengi njoo na marafiki
My baby kwani hufiki umekwama wapii
Sahau kuhusu mengi njoo na marafiki
My baby kwani hufiki umekwama wapii
Hutaki kuniamini zaidi ya moyo nikupe nini
Hutaki kuniamini zaidi ya moyo nikupe nini
Macho na moyo vinasema
I can't live without you
Come closer body to body
Siwezi bila wewe
Macho na moyo vinasema
I can't live without you
Come closer body to body
Unachosema it's alright
Nimekuchagua mwenyewe
Utachosema it's alright
Chaguo langu ni wewe
Kushindana na moyo sio vita vya kawaida
Wenzako wanachekesha sura kwenye moyo wanavunja yeah
Hubishani na pete unajua
Mama kasema this is my world
Moyo na pesa vyote chukua
Umenizidi kete yeah
She wants seep some Hennessy baby
Maryjane in my hands oses in my bed
Hutaki kuniamini zaidi ya moyo nikupe nini
Hutaki kuniamini zaidi ya moyo nikupe nini
Macho na moyo vinasema
I can't live without you
Come closer body to body
Siwezi bila wewe
Macho na moyo vinasema
I can't live without you
Come closer body to body
Unachosema it's alright
Nimekuchagua mwenyewe
Utachosema it's alright
Chaguo langu ni wewe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Baba Boss TV (EP)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE