Nakupenda Lyrics
Mmmh
Nakupa sifa zote baby
Unanichanganya changanya eweh baby iiiih
Kwenye sita kwa sita wee fundi baby iiiih
Unanikoroga koroga sijiwezi eeh
Mbalamwezi kwa kiza unanimulika mwezako me nang’aa ng’aa
Penzi la miujiza nalopata kwako nabaki tu kushangaa
Mbalamwezi kwa kiza unanimulika mwezako me nang’aa ng’aah
Penzi la miujiza nalopata kwako nabaki tu kushangaa
Mpezi wangu nakupenda wewe tu
Me mwenzio bila wewe si kitu
Tumwombe mungu atuepushe vitu vitu
Tuishi milele mpaka tuone vitukuu
Washachelewa aah aah oweoh
Ushawaiwa aah aah oweoh
Washachelewa aah aah oweoh
Ushawaiwa aah aah ooh oweoh
Mmh eeh aah
Kuna bebe zenu halafu kuna wangu ni mtu na nusu
Penzi linawaka waka halizimi si umeme wa luku
Kuna bebe zenu halafu kuna wangu ni mtu na nusu
Penzi linawaka waka halizimi si umeme wa luku
Yeye na mimi tupo sayari yetu sayari yetu
Tumeridhiana na yetu madhaifu madhaifu
Mpenzi wangu nakupenda wewe tu
Me mwenzio bila wewe si kitu
Tumwombe mungu atuepushe vitu vitu
Tuishi milele mpaka tuone vitukuu
Washachelewa aah aah oweoh
Ushawaiwa aah aah oweoh
Washachelewa aah aah oweoh
Ushawaiwa aah aah oweoh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
BEKA FLAVOUR
Tanzania
BEKA FLAVOUR real name Bakari Katuti is a musician from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE