Accueil Recherche Pays Albums

Kama Siwezi

BEKA FLAVOUR

Kama Siwezi Lyrics


Picha ya mapenzi yote kumkabidhi mshahara ni machozi
Mapenzi we yatezame kwa dvd moyo wangu kaupiga shoti
Biashara ya mpenzi mingi mtihani mimi nimeingia lossi
Nilipopenda ate sikudhani ningepigwa kidochi
Wanatendwa akina bilgate na sharkan sembuse mimi ni nani
Nimekubali najipa imani kuma yangu ridhiki
Na kamoyo kana  niuma, na uwoga kanifanyia dhuluma
Mimi nashindwa kuyazoea maumivu yeeh
Na kamyo kana niuma, na uwoga kanifanyia dhuluma 
Mimi nashindwa kuyazoea maumivu yeeh

Nitawezana vipi naona kama siwez i(siwezi)
Penzi ilinikamata siwezi (siwezi)
Tururu turu turutu siwzei (siwezi)
Penzi lilininogea siwezi (siwezi)

Kabomoa daraji angali sijavuka ngambo (ngambo)
Na mimi siwezi ogellllea ata maji ya kisado ( sado)
Kanikomoa kabisa yeye yuko kamili bado (bado)
Yani kama miujiza sijaamini bado
Moya kaucharanga chala amekuma mganga 
Na majini yempanda mimi silolote kaniona mshamba
Mimi kwake nilita nganga vit aya maprnzi kaja na panga 
Kaniacha niko hoi sijitambui kabisa
Na kamoyo kana  niuma, na uwoga kanifanyia dhuluma
Mimi nashindwa kuyazoea maumivu yeeh
Na kamyo kana niuma, na uwoga kanifanyia dhuluma 
Mimi nashindwa kuyazoea maumiv yee eee auuh

Nitawezana vipi naona kama siwezi (siwezi)
Penzi ilinikamata siwezi (siwezi)
Tururu turu turutu siwzei (siwezi)
Penzi lilininogea siwezi (siwezi)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Kama Siwezi (Single)


Copyright : © 2021 channel administered by ngomma vas


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

BEKA FLAVOUR

Tanzanie

 BEKA FLAVOUR  est un artiste musicien tanzanien. ...

YOU MAY ALSO LIKE