Washangaze wajue Lyrics

Walijua nitabaki Kama nilivyo
Walidhani sitoweza kusimama Tena (x2)
Yalikua Ni maneno yyao hao wanadamu
Ilikua Ni mipango yao hao wanadamu
Yalikua Ni maneno yao hao wanadamu
Yalikua Ni mipango yao hao wanadamu
Kuongea kwangu Wao wakanihukumu
Ile vaa yangu Wao wakanihukumu
Na Ile tembea yangu Wao wakanihukumu
Makosa yangu Ni Kweli Wao wakanihukumu
(X2)
Hawakujua wewe Ni Mungu wa rehema
Hawakujua umekalia kiti Cha Rehema
(x2)
Washangaze wajue eeeee
Washangaze wajue unayejibu
Washangaze wajue
Washangaze wajue adui zetu
Washangaze wajue
Waliosema hatuezi
Wajue upo Mungu wetu
Wajue wewe tunaye Kuabudu
Wanadamu kumbe ndivyo walivyo
Ukikosea Jambo hawawezi kukuombea
Ni ukweli Hawajui mipango yako
Ni ukweli Hawajui mawazo yako
Washangaze wajue mipango yako Mungu
Washangaze wajue Baba
Yahweh washangaze wajue
Washangaze wajue eeeee Washangaze wajue
Washangaze wajue adui zetu
Washangaze wajue
Waliosema hatuezi
Wajue upo Mungu wetu
Wajue wewe tunaye Kuabudu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Washangaze Wajue
Copyright : ©2020
Added By : Its marleen
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE