Barua Lyrics
Bahati Tena Eh...
Ni Furaha Iliyoje Baba Naitoa Moyoni.
Na Ni Furaha Iliyoje Kwako Uisike Hewani.
Ni Barua Ngapi Nimeandika Kwa Njia Ya Muziki?
Na Nyimbo Ngapi Nimeandika Zisizo Za Riziki?,
Ni Barua Ngapi Nimeandika Kwa Njia Ya Muziki?,
Nina Nyimbo Ngapi Nimeandika Zisizo Za Riziki?,
Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi,
Nikikuita Daddy,
Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi,
Nikikuita Daddy,
Kufunga Nikafunga Ila Siri Staki Wajue,
Msamaha Nikaomba Kwa Magoti Nisikuzingue,
Kufunga Nikafunga Ila Siri Staki Wajue,
Msamaha Nikaomba Kwa Magoti Nisikuzingue,
Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi,
Nikikuita Daddy,
Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi
Nikikuita Daddy,
Barua Yangu Ya Mapenzi Nimeona Niimbe,
Barua Yangu Ya Mapenzi Nimeona Niimbe,
Barua Yangu Ya Mapenzi Nimeona Niimbe,
Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi,
Nikikuita Daddy,
Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi,
Nikuita Daddy,
Ooh Kama Mapenzi Msalabani Ulifanya Zaidi,
Na Kama Kipaji, Kwa Burudani Umekuwa Nami,
Ooh Kama Mapenzi Msalabani Ulifanya Zaidi,
Na Kama Kipaji Kwa Burudani Umekuwa Nami.
Kuna Wengi Wanaodai Mapenzi Kumbe Walaghai,
Wana Badili Face Kama Kinyonga Kamwe Hawafai,
Kuna Wengi Mjini Wanaodai Mapenzi Kumbe Hawafai,
Wana Badili Face Kama Kinyonga Kamwe Hawafai,
Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi
Nikikuita Daddy,
Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi,
Nikikuita Daddy
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2014
Album : Barua (Single)
Copyright : ©2014
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
BAHATI
Kenya
BAHATI is a Gospel singer & entrepreneur from Kenya. He is also the CEO of EMB(Eastlands Most Be ...
YOU MAY ALSO LIKE