Home Search Countries Albums

Twisty Lyrics


Usimdharau msela wako
Usimfanyie msela wako
Usimtukane msela wako
Yeye ni kama ndugu yako

Tuimbe tuimbe, tucheze twisty
Tuimbe tuimbe, tucheze twisty
Tuimbe tuimbe, tucheze twisty
Sisi vijana wa hamsini

------------
-----------
Eeh eeh waiter nipe maji
Hii ni tumaji
Ruka ruka kama panzi
Niko juu ya ngazi
Kwani napanda ngazi faster

Let me take you way  back
Pahali party ilikuwa ni moto
Katika mwagika hata kama we ni msoto
Kujirusha kujichanganya wakubwa kwa wadogo

It's all love, all round twakesha kama popo
Yes chuki bila jasho nacheza style moja tu easy
Unakula ngoma hadi chini down uko fiti
Unachoma nyama, beer maTusker hadi kukuche
Nimecheki masela kila kona wako tu busy

Usimdharau msela wako
Usimfanyie msela wako
Usimtukane msela wako
Yeye ni kama ndugu yako

Tuimbe tuimbe, tucheze twisty
Tuimbe tuimbe, tucheze twisty
Tuimbe tuimbe, tucheze twisty
Sisi vijana wa hamsini

Na sisi mavijana tunapenda twisty
Tukijirusha kimitindo utasimama twisty
Nazidai hizo doh niende doh jiji
Madesigner hizo masuti nimpe dhobi siti

Hata wamama over there wanapenda twisty
Imenyooka inavyokwea jo huwezi twist hii
Tupe shavu wanamziki kwa hili fani
Kimabavu bora kiki kama yule Vanny

Marobo marobo marobo natanza bobo
I'm living the life nauza ka ndoto, kwaheri msoto
Flow zangu basi bei ghali mwana wa hamsini
Tema chemically kwanza --- generally

Jam like I'm feeling the money today
Saying lazma kapende hio game
Eey lazima utoke kajasho
Eey mwanaume ni kuhustle
Eey mwanamke ni kudance jo 
Long as we got the cash though
Pesa sabuni ya roho
Since another one lala kando

------------
------------

For the good life we living
North hadi kusini
Urafiki imekuwa ni dini
Uwe town ama mjini

Wa love kwangu masela
With you chochote twaweza
Going iwe tough
Blood iwe strong nigga

Pesa za kujaa haziwezi tenganisha
Njala iwe kwacha tutashare tu 
Fahamu mwisho wa siku maisha hubadilika
Tucheze tuimbe tucheze twisty

Usimdharau msela wako
Usimfanyie msela wako
Usimtukane msela wako
Yeye ni kama ndugu yako

Tuimbe tuimbe, tucheze twisty
Tuimbe tuimbe, tucheze twisty
Tuimbe tuimbe, tucheze twisty
Sisi vijana wa hamsini

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Twisty (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

L.O.T LIONS OF TSAVO

Kenya

L.O.T Lions of Tsavo is a music band from Taita Taveta, in Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE