Vidole Lyrics
Vidole, vividole
Vidole, vividole
Vidole, vividole
Ako na form, form ye ndo ako na form
Hapana skiza watu hizo ni kelele za chura
Ako na form, form ye ndo ako na form
Hapana skiza watu hizo ni kelele za chura
Ako na form, form ye ndo ako na form
Hapana skiza watu hizo ni kelele za chura
Ako na form, form ye ndo ako na form
Hapana skiza watu hizo ni
From nothing to something, the state niko
Used to the family, ni kaa mwiko
Injili ipepete wapi, juu ni kaa jiko
Shida zikiniona zinatoka ki-jiko
Cheki venye amedone, venye amedone bado amedone
Venye nilikuwa nan, wanadhan ntabeba gun
Bado nabeba gun, venye unakam fuata son of man
Dhambi nimemaliza, I’m done Abadan-katan
By your grace niko ozone kama oxygen
Akili ni nywele si tuna locks, inje
Zam-ndani ya, zam-ndani ya
Zam-ndani ya, zam-ndani ya
Zama za zama, zama za zama
Zama ndani ya yesu pana weka nose inje
Faida kwa Yesu weka loss inje
Vidole, vividole
Vidole, vividole
Vidole, vividole
Vidole, vividole
Ako na form, form ye ndo ako na form
Hapana skiza watu hizo ni kelele za chura
Ako na form, form ye ndo ako na form
Hapana skiza watu hizo ni kelele za chura
Ako na form, form ye ndo ako na form
Hapana skiza watu hizo ni kelele za chura
Ako na form, form ye ndo ako na form
Hapana skiza watu hizo ni
Verse anajua the future is bright
Hakuna cha kuleft, the future is right
Past, present, future is Christ
Ye ndo mwangaza hapana ff-flight
Forever young tuite wa-less
Maisha na king ndani ya palace
Yesu ndo amefanya tutawale
Kuja kwa yesu achana na wale
Sipendi gauge, siezisema I’m missing sipping
Blessings zinaflow kama Mississippi
Life inbamba hata sitishiki
Pombe hata na glass, aa-ha mi sishiki
Water-man Jesus what a man, kutembea juu ya maji Tembea juu ya water man
His love so sweet toa ulimi, onja that
True love so blind but nimewahi-ona that
Kuna venye, kuna venye, kuna venye, kuna venye
Kuna ku-ku-kuna kuuna venye ku-ku-ku kuna venye Religion inaezafanya umiss papa
So ufuate Mother nature na umiss papa
Ushike omena na umiss papa
Vidole, vividole
Vidole, vividole
Vidole, vividole
Vidole, vividole
Ako na form, form ye ndo ako na form
Hapana skiza watu hizo ni kelele za chura
Ako na form, form ye ndo ako na form
Hapana skiza watu hizo ni kelele za chura
Ako na form, form ye ndo ako na form
Hapana skiza watu hizo ni kelele za chura
Ako na form, form ye ndo ako na form
Hapana skiza watu hizo ni
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2017
Album : Vidole
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE