Home Search Countries Albums

Kabla Hatuja Achana

B2K MNYAMA

Kabla Hatuja Achana Lyrics

Alinipa sifa zote kwa kunisevu baby nikamuita sweet
Eti mi chaguo lake amewaacha wengi kwangu hafurukuti
Basi kasauti kake ananibembeleza naongea kila kitu
Akili na moyo wake vitakua upande wangu kila siku
Na anapata raha mustarehe akiwa na mimi tunacheza cheza ah ah ah
Yaani hawaamini ninavyo muweza
Basi akawasha udi akafanya maombi
Si tuzidi kupendana
Na akanisihi nisiwe na wengi
Ili tuepushe kutengana

Alinisifu vingi na leo ananikandia (kabla hatuja achana)
Na niliyaharibu mengi akaja kunitetea (kabla hatuja achana)
Alinisifu vingi na leo ananikandia (kabla hatuja achana)
Na niliyaharibu mengi akaja kunitetea (kabla hatuja achana)

Basi kuna siku nilimtania shemeji akanuna
Akasema ye hapendi dharau nisije kumtafuna
Eti bora nimsifu yeye alivojazia kule nyuma
Na bora ningemsifu angalau afute kosa la nyuma
Anapenda nimdekeze tucheze cheze rede
Alitaka kila siku awe mshindi yeye
Basi alinikalipia nikichelewa kurudi nyumbani
Na nimpe sababu nilikokua nilikua na nani
Basi akawasha udi akafanya maombi
Si tuzidi kupendana
Na akanisihi nisiwe na wengi
Ili tuepushe kutengana

Alinisifu vingi na leo ananikandia (kabla hatuja achana)
Na niliyaharibu mengi akaja kunitetea (kabla hatuja achana)
Alinisifu vingi na leo ananikandia (kabla hatuja achana)
Na niliyaharibu mengi akaja kunitetea (kabla hatuja achana)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2022

Album : Kabla Hatuja Achana (Single)

Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

B2K MNYAMA

Tanzania

B2k Mnyama is a Tanzania artist. He is the C.E.O  of Starbeat Records. ...

YOU MAY ALSO LIKE