Utachekwa Lyrics
Hizi streets za mapenzi
Mmmh jamani kaza (Utachekwa)
Ati baby kakuacha
Ndo ujitie kitanzi (Utachekwa)
Ndugu yangu huna shepu unajibinua binua (Utachekwa)
Hata kodi hujalipa unajichubua chubua (Utachekwa)
Ukijitamba utazua nongwa (Utachekwa)
Ati gari nimenunua kumbe umehongwa (Utachekwa)
We acha ujinga we acha ujinga (Utachekwa)
We acha ujinga we acha ujinga (Utachekwa)
We acha ujinga we acha ujinga (Utachekwa)
We acha ujinga we acha ujinga (Utachekwa)
Ukimpigia baby baby ukaweka na loudspeaker
Kumbe baby yuko na baby yatakushuka (Utachekwa)
Sa ndo nini umelewa unaanza kutoa vya ndani (Utachekwa)
Umenunua subwoofer ndo utese majirani (Utachekwa)
We shabiki wa Yanga unaishi Msibanzi (Utachekwa)
We shabiki wa Simba unajenga mwembe Yanga (Utachekwa)
We acha ujinga we acha ujinga (Utachekwa)
We acha ujinga we acha ujinga (Utachekwa)
We acha ujinga we acha ujinga (Utachekwa)
We acha ujinga we acha ujinga (Utachekwa)
Kama unaboss mpepeee, chawa boss mpepeee
Kama unaboss mpepeee, aah mpepeee
Kama una baby mpepeee,jamani baby mpepeee
Kama una baby mpepeee, aah mpepeee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Utachekwa (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE