Kila Mtindo Lyrics

Nimetokea nayo hiyo
Hahahaha… (Here we go)
Kila mtindo, Kila mtindo
Kila mti, kila mti, kila mtindo
Kila mtindo, Kila mtindo
Kila mti, kila mti, kila mtindo
Boom shakalaka shata nishakuwa high
Stimu zinalipiwa joh lete nibuy
Bang mbaya uko
Kwenye anga za ay
Ebwana vamos, vamos
Come baby come come
Baby come come
Si unajua mi na wewe dam dam
Mpaka wengine ushawapoteza
Moves noma kete mi nasogeza
Hold up
Zigo ka-ma limechorwaa
Lika-katika nasikia kunyora
Leo chaga zita-omba wora (All right)
Come again
Hold up
Zigo ka-ma limechorwaa
Lika-katika nasikia kunyora
Leo chaga zita-omba wora
(All right)
Kamchumee mee
Come to my bed eeh eeh (Aha ilite hiyo)
Kamchumee mee
Come to my bed eeh eeh (Aha ilite hiyo)
Utundu wake umeshamsha kila sehemu
Ashanivuruga huyu demu
Utundu wake umeshaamsha kila sehemu
Ashanivuruga, ashanivuruga
Kamwambie hatulii ukataa
Kamlete kama kiu kata
Kamwambie hatulii ukataa
Kamlete kama kiu kata
Ananiua na vilips (kila mitindo)
Mikono shika kwenye hips (kila, kila)
Kibinda juu shika kiti (kila mtindo)
Anaulizia kibiriti (kila, kila mtindo)
Nafika katinakutana na matutana
Apande juu mara chini kachutuma
Abdalah kichwa wazi achimama
Haya mambo ni ya kima cha juu sana
Kama anafinya mara anapiga
Kama anaweka mara anaminya eeh
Kama anabana mara anachia
Kama anataka mara anataka
Kamchumee mee
Come to my bed eeh eeh (Aha ilite hiyo)
Kamchumee mee
Come to my bed eeh eeh (Aha ilite hiyo)
Utundu wake umeshamsha kila sehemu
Ashanivuruga huyu demu
Utundu wake umeshaamsha kila sehemu
Ashanivuruga, ashanivuruga
Kamwambie hatulii ukataa
Kamlete kama kiu kata
Kamwambie hatulii ukataa
Kamlete kama kiu kata
Aaah aaaah aaah… Amina aaaah…
Lazima aaah… Utazima Taa aaah
(come again)
Aaah aaaah aaah… Amina aaaah…
Lazima aaah… Utazima Taa aaah
Kila Mitindo,
Kila, kila, Kila Mitindo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Kila Mitindo (Single)
Added By : Afrika Lyrics
SEE ALSO
AUTHOR
AY
Tanzania
A.Y, whose real names are Ambwene Yessayah is a recording artist performer and song writer fro ...
YOU MAY ALSO LIKE