Home Search Countries Albums
Read en Translation

Umenisitiri Lyrics


Aaaaah aaah aaah aaah

Aaaaah aaah aaah aaah

Wewe mungu umeja kunisitiri ye ye ye

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Wewe mungu umeja kunisitiri mwanao

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Wewe mungu umejua kunisitiri ye lele

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Wewe mungu umejua kunisitiri ye lele

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Aaaaah aaah eeeh eeeh

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Aaaaah aaah eeeh eeeh

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Aaaaah aaah eeeh eeeh lele lele

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Aaaaah aaah eeeh eeeh lele lele

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Umegeuza matanga yangu kuwa machezo baba yangu

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Umegeuza huzuni yangu kuwa furaha ye lele lele

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Haa pasipo wewe sijui ningeitwa nani leo mimi

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Aaaaah aaah eeeh eeeh

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Aaaaah aaah eeeh eeeh

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Aaaaah aaah eeeh eeeh

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Aaaaah aaah eeeh eeeh lele lele

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Umekua ni ficho langu wakati wa hatari baba

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Umekua ushindi wangu wakati wa vita zoto baba

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Umekua daktari wangu wakati wa magonjwa baba

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Aaaaah aaah eeeh eeeh

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Aaaaah aaah eeeh eeeh

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Aaaaah aaah eeeh eeeh

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Aaaaah aaah eeeh eeeh

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Aaaaah aaah eeeh eeeh

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Aaaaah aaah eeeh eeeh lele lele

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Aaaaah aaah eeeh eeeh

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Aaaaah aaah eeeh eeeh

(wewe mungu umeja kunisitiri)

Haleluyah haleluyah haleluyah

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2024


Album : (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

ATOSHA KISSAVA

Tanzania

Atosha Kissava is a Annointed Worshiper & Praiser, singer/songwriter from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE