Zoo Chu Lyrics
Kupenda wapende wengine
Akipenda Foby siyo haki
Kupost wapost wengine , akipost Foby ni Kiki
Moyo wa mtu
Ni siri ilo ndani
kwanini uisemee
Kumpenda zuchu
Iko ndani Rohoni
Kwanini unizomee
Kama shida pesa
Pesa nitaenda kuiba kwa mzungu nikuletee
Mi nakupenda zuchu zuchu
Acha kunitesa
Moyo ushachoka kubadili watu
Wananicheka watu watu
Kuna siku nitakuja kujifia
Mjilaumu hamkunisaidia
Mbona mnachezea hisia
Zuchu zuchu
Mi mwenzako mimi nakupenda
Zuchu zuchu
Sijawahi kutania
Zuchu zuchu
Pete yako nipo nayo
Zuchu zuchi
Kama kuna mkataba wako hautuhusu kuwa na mtu wa nje ya
Nipo tayari mondi anisign nimchukue mtoto
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Zoo Chu (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE