Sielewii Lyrics
It's L music baby
Shako media
Ona Nakupenda hakuna ujabali
Na Yaona Mateso Mimi
Hata ule niliomuita wangu mwendani
Kesho wajiona mjini
Na Ile ahadi alionipa hakuitimiza
Nani atakua dereva nipo kwenye Giza
Kabla moyo singekufaa Basi angenijuza
Kumbukumbu zake kichwani zinaniumiza
Nipo radhi mie nionekanapo fala
Kama nzi Ni fena kidonda chake mama
Toka mie wenzake mi anieleweshe maana
Sielewii Baby eeeeeh
Sielewii Sielewii
Ni kizungumkuti mama Sielewii Sielewii
Naomba nielewe
Mahututi mama
Kali ka baridi nakufaa alfajiri
Kama mapenzi hayatoshi si
Angeniambiaaa kuliko kuondoka na kuniacha naumia
Kama nyama chakula kiambishi ameniacha naumbuka mwenziwe
Nipo radhie nionekane fala juu yake
Kidonda chake mama
Toka akimbia Nakosa kulala
Mie anieleweshe maana Sielewii
Sielewii Sielewii Sielewii Sielewii kizungumkuti mama Sielewii Sielewii
Nipo mahututi mama
Asiminaomba mnielewee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Sielewii
Copyright : ©2018
Added By : Its marleen
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE