Promise Me Lyrics

Kama maji mtungini nimetulia mama
japo nakuzimia
Sina dhamana mjini nimefulia mama
mfukoni sina hata cent mia
Sina nyumba, wala uwezo wa kulipa nilikopanga
Maisha yangu yanayumba, nahisi kama naigiza unavozanga
Je utavumilia ah, Shida! au utazikimbia
Niahidi kama utavumilia ah, ama ukichoka utanikimbia
Oooh baby Promise me iiih iiih
If you marry me iiih iiih
My baby Promise me iiih iiih
If you marry me iiih iiih
Ni mateso kiasi gani, nayopitia niahidi utavumilia
Na kama nikikosea nyumbani, nisamehe bure usiwe kirukanjia
Kama unaamini nami ipo nitapata, funga na usali baby wangu uniombee
Ya majirani eti watajakusakata, usiyajari we ni wangu acha waongee iiyeeh
Japo wawazia gari, me mwenzako ata toroli sina
Wala nyumba pesa mali, na kimuziki bado nasaka jina
Je utavumilia ah, Shida! au utazikimbia
Niahidi kama utavumilia ah, ama ukichoka utanikimbia
Promise me iiih iiih
If you marry me iiih iiih
My baby Promise me iiih iiih
If you marry me iiih Sina biashara wala mtaji
Bado bado bado
Sipati mshahara kwenye hiki kipaji
Bado bado bado
Uwezo wa kukidhi mahitaji
Bado bado bado
Najimwemwenyua ata mfariji
Bado bado bado oiiyeeh
Azayzakah
Kajoro For Life
Aah Ryanboy
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Promise Me (Single)
Added By : Zakah Kajoro
SEE ALSO
AUTHOR
AZAYZAKAH
Tanzania
Zakayo Kajoro Mashinga who popularly known for his stage name Azayzakah "RYANBOY" was born ...
YOU MAY ALSO LIKE