Nikumbatie Lyrics
Me need you by my side all night
Me got pretty love, pretty love for you
Wanasema haufai kuwa nami
Vile tukipita wanakodoa macho juu
I don't wanna cry no why
Nishachoka kuumizwa
Only you feel my vibes baby
Utamu na raha naenjoy
Kwako najimaliza
Only you feel my vibes baby
Walisema hatufiki wanafiki
Mungu amebariki hatuna dhiki
Penzi bendera ya chuma, haliumbishwi
Walisema hatufiki
Nikumbate, nikumbatie aii nikumbatie aii
Nilkumbate, nikumbatie nikumbatie
Nikumbate, nikumbatie aii nikumbatie aii
Nilkumbate, nikumbatie nikumbatie
Ukiomba nakupa nakususia ah
Kula hadi mifupa fakamia
Usizidishe pupa utapaliwa
Ukitaka nakupa
Nobody nobody hey
Go do my body like you, ooh ooh
Your body, your body beib
Oh your body belongs to me, to me
Walisema hatufiki wanafiki
Mungu amebariki hatuna dhiki
Penzi bendera ya chuma, haliumbishwi
Walisema hatufiki
Nikumbate, nikumbatie aii nikumbatie aii
Nilkumbate, nikumbatie nikumbatie
Nikumbate, nikumbatie aii nikumbatie aii
Nilkumbate, nikumbatie nikumbatie
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nikumbatie (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
AISHA
Tanzania
Aisha also known as Bi Aisha is an artist from Tanzania signed under Kwetu Studios. ...
YOU MAY ALSO LIKE