Home Search Countries Albums
Read en Translation

Fahyma Lyrics


Niki check nywele zako mitindo yako ka shape kako umewazidi wenzako

Mama kashingo kako, mapozi yako umeninasa natamani niwe wako

Kembamba mbamba no unene Mama nenguwa ringa wakuone halali

Rayvanny amwage mapene ungekuwa wangu ninge mwambia hata mnene

Nikope pesa nikanunue gari nikupe wewe (Yeye yeyee)

Macho niki pepesa sioni pisi kali kushinda wewe (Mmmh)

Nitoke Sinza nije mpaka Mbezi kuishi na wewe (Yeye yeyee)

Mama unavyo pendeza mi nimvote nani kama sio wewe (Mmmh)

Hako ka sura kako Fahyma

kama mdoli umewazidi wenzako Fahyma

mengi magoli huto tumacho twako Fahyma

kama gololi niki check picha zako Fahyma

mwenzako hoi

(Huuu Fahyma jamani mbona we mzuri hivyo huu Fahyma

ukitembea mwendo wako sasa ndio tatizo huuu Fahyma

jamani mbona we mzuri hivyo huu Fahyma

ukitembea mwendo wako sasa ndio tatizo)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2024


Album : (Single)


Added By : Edward

SEE ALSO

AUTHOR

Kizbrax

Tanzania

...

YOU MAY ALSO LIKE