Story za Naivasha Lyrics
Boy wake ni mkamba wakanesa
Anapenda lighskin na anasa
Kadem kanjanja kanatesa
Kanawaka na luku za Wekesa
Kalienda Naivasha kakawachwa
Kakawachwa bypass hapo villa
Sasa kamenaswa kameshikwa
Kameambiwa eti katoe sadaka
Naivasha, Naivasha
Naivasha ni story za Naivasha
Naivasha, Naivasha
Naivasha ni story za Naivasha
Naivasha, Naivasha
Naivasha ni story za Naivasha
Naivasha, Naivasha
Naivasha ni story za Naivasha
Na Njogu ni nani alifika akapiga tequilla
Zikamshika zikaitika akabisha next tent kwa Letisha
Wacha kaende wacha kashike
Wacha kalete noma kwa jirani
Ati kelele, kelele
Kelele selecta wapi nduru?
Naivasha, Naivasha
Naivasha ni story za Naivasha
Naivasha, Naivasha
Naivasha ni story za Naivasha
Naivasha, Naivasha
Naivasha ni story za Naivasha
Naivasha, Naivasha
Naivasha ni story za Naivasha
Washaipea jina eti vasha
Ticket logbook ya Subaru
Wale wa maprobox na manganya
Wakakosa pickpoint ya kuhanya
Mbogi ya carhire wamechotwa
Wamepoteza gari mpaka tyre
Ju walilewa sana wakalala
Wakasahau slayqueen mambo mbaya
Naivasha, Naivasha
Naivasha ni story za Naivasha
Naivasha, Naivasha
Naivasha ni story za Naivasha
Naivasha, Naivasha
Naivasha ni story za Naivasha
Naivasha, Naivasha
Naivasha ni story za Naivasha
Naivasha, Naivasha
Naivasha ni story za Naivasha
Naivasha, Naivasha
Naivasha ni story za Naivasha
Naivasha, Naivasha
Naivasha ni story za Naivasha
Naivasha, Naivasha
Naivasha ni story za Naivasha
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Story za Naivasha (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE