Wanga Lyrics
Tunaua wanga, tunaua
Tunaua wanga, tunaua
Wanga mtakoma nimepata doh
Shaye life ona mbona you already know
Wanga mtakoma nimepata doh
Shaye life ona sasa you already know
Wanga mtakoma nimepata doh
Shaye life ona mbona you already know
Wanga mtakoma nimepata doh
Shaye life ona sasa you already know
I've been going round the city everyday
Flying license angry belly everyday
Now I got the money spend it all in lavish way
Now I see them big discussing feelings for ways
Na wangali bana, ikashindikana
--
Huwezi kushindana nami
My nigga nitakuacha njiani
Namwamini Mungu si shetani
Tunaua wanga, tunaua
Tunaua wanga, tunaua
Tunaua wanga, tunaua
Tunaua wanga, tunaua
Wanga mtakoma nimepata doh
Shaye life ona mbona you already know
Wanga mtakoma nimepata doh
Shaye life ona sasa you already know
Nimetamani kuwa famous toka mdogo futa kamasi
Huku bwashika mkasi mdogo mdogo kukata nyasri
Steam za nyasi tulivuta kwa karatasi
Songea huko basi mbona unanigasi gasi
Oooh yeah nilishagombania ukoko
Toka mdogo nilionekana kama kocho
Oooh yeah mixer ya kuokota makopo
Kupendeza mpaka fuko kuno mtoko
Nishavaaga pants ugoroka
Mara shati imetoboka
Leo nanyoosha pasi jeans inanyooka
Nanukia unyunyu "kss kss kss" nanyuka
Tunauwa wanga, tunaua
Tunauwa wanga, tunaua
Tunauwa wanga, tunaua
Tunauwa wanga, tunaua
Wanga mtakoma nimepata doh
Shaye life ona mbona you already know
Wanga mtakoma nimepata doh
Shaye life ona sasa you already know
Nina misumari mbao zipo leta nyundo tutoboe
Msala msala leo wanga nachapa sioni hatari
Nilifundishwa kuloweshwa nisilowe
Nikila hasara nashushaga bapa
Wote wageni hata wenyeji wamealikwa
Pozi hatari tatizo ni mpiga picha
Ukiwa na wivu hatusupport that's it
Ni sawa kuwa na mpango wa kando
Anacatch feelings za main chic, check check
Tunauwa wanga, tunaua
Tunauwa wanga, tunaua
Tunauwa wanga, tunaua
Tunauwa wanga, tunaua
Wanga mtakoma nimepata doh
Shaye life ona mbona you already know
Wanga mtakoma nimepata doh
Shaye life ona sasa you already know
You know we made that shit
They call me Byter Beast
Mnakesha mkiroga si tunaplay like this
You wish to ball like we, you won bolati
Vyote vitafanana ila sio akili
Huh tunafanya for money hatufanyi for show
Party la kikubwa mpaka majogoo
Nishasota sana nikiwaza before
Abbah kwenye map you already know
Tunauwa wanga, tunaua
Tunauwa wanga, tunaua
Tunauwa wanga, tunaua
Tunauwa wanga, tunaua
Tunaua, woza
Tunaua, sinza
Tunaua, woza
(The Mix Killer)
Abbah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : The Evolution (Album)
Copyright : (c) 2021 Abbah Music.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
ABBAH
Tanzania
Abbah Process real name Sweetbert Charles Mwinula is aka the 'Beat Monster' is a music ...
YOU MAY ALSO LIKE