Twanga Lyrics
Mwenye tu wa arosto
Bando bando nibandue
Usinipite kama chochoro
Kama chochoro
Maji baridi au moto
Vuguvugu usinibabue
Usinishushe kama kandoro
Maji kandoro
Unanikolezea moto
Taratibu nakolea
Na tena haichachi
Ukizidisha chumvi ninalegea
Kulale
Umenicharazia moko
Sukari nazidi kukolea
Ukinitouch touch
Mwenzio ninazidi kunogewa
Oooh yeah yeah
Yetu siri unaijua
Ya wawili mi nawe
Yetu nadhiri shikilia
Usije share, usije share
Usiwe tendo kutendua
Naogopa dhalilika
Siri yangu na wewe
Ndio kaitoa baba ooh yeah
Baby twanga, twanga twanga
Nitapepeta twanga
Baby twanga, twanga twanga
Nitapepeta twanga
Oh baby twanga, twanga twanga
Nitapepeta twanga
Baby twanga, twanga twanga
Nitapepeta twanga
Machachari kwa yako madoido
Napadwa midadi, ode
Mambo ng'ari ng'ari
Wakikuita ganga wala sijali, siongei
Usitikise kiberiti aah
Mwisho ukachekechea kibati
Wambea wakanikalia kamati
Povu kunitolea, kwa umati
Unanikolezea moto
Taratibu nakolea
Na tena haichachi
Ukizidisha chumvi ninalegea
Kulale
Umenicharazia moko
Sukari nazidi kukolea
Ukinitouch touch
Mwenzio ninazidi kunogewa
Oooh yeah yeah
Yetu siri unaijua
Ya wawili mi nawe
Yetu nadhiri shikilia
Usije share, usije share
Usiwe tendo kutendua
Naogopa dhalilika
Siri yangu na wewe
Ndio kaitoa baba ooh yeah
Baby twanga, twanga twanga
Nitapepeta twanga
Baby twanga, twanga twanga
Nitapepeta twanga
Oh baby twanga, twanga twanga
Nitapepeta twanga
Baby twanga, twanga twanga
Nitapepeta twanga
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Twanga (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
SELINE
Tanzania
Seline real name Roseline Bumchaka Muhagachi is an artist from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE