Home Search Countries Albums

Cheza

WYSE

Cheza Lyrics


Iwe usiku mchana
Ama asubuhi mwanana
We ndo chaguo langu
Mi mwengine hapana
Unanitoshea sana
Nimekupa moyo wangu
Hata niwe nacho, hata nikose
Hujali baby bado tupo wote
Unanifuta jasho nisichoke
Kidogo chetu tunakula wote

Baby mmmh waubani
Hali yangu taabani
Sielewi umenipa nini
Sielewi sielewi
Pandisha juu shusha chini
Harafu niambie, kwani hiko nini
Nabaki mmh mmh
Sisemi sisemi

Nioneshe unavyocheza cheza
Nione unavyoweza weza
Baby cheza cheza cheza
Nioneshe unavyocheza cheza
Nione unavyoweza weza
Baby cheza cheza cheza

Sasa niambie unapenda nini
Unapenda pilau ama biriani
Au samaki wa baharini
Nikupe chocolate pipi laini
Ukitaka lambalamba nikupe corn
Basi niambie unataka nini
Hata niwenacho, hata nikose
Hujali baby bado tupo wote
Unanifuta jasho nisichoke
Kidogo chetu tunakula wote

Baby mmmh waubani
Hali yangu taabani
Sielewi umenipa nini
Sielewi sielewi
Pandisha juu shusha chini
Harafu niambie, kwani hiko nini
Nabaki mmh mmh
Sisemi sisemi

Nioneshe unavyocheza cheza
Nione unavyoweza weza
Baby cheza cheza cheza
Nioneshe unavyocheza cheza
Nione unavyoweza weza
Baby cheza cheza cheza

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Cheza (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

WYSE

Tanzania

Wyse is a singer/songwriter from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE