Toto Lyrics
Michezo yako kinasty nasty
Biggy biggy heavy heavy
Mama mimi napendaga
Ulivyoshona konongo nongo
Ukidunga sketi alafu uiname chini
Unanimaliza mmmh
Ukifunga dera unanimaliza
Michezo ya chumbani, oi nakufa
Unanimaliza ooh mama
Wewe ni, my sugar sukari
Ulivyozidi utamu, nikuite asali
To-to-to mama
To-to toto mama
To-to-to mama
To-to toto mama
Hey hey toto toto
Unanimada toto ooh, hey toto
Oh toto toto-oh to
Hey hey toto toto
Unanimada toto ooh, hey toto
Una siri gani hapo kwa mauno
Mtoto wa Salome anamwaga mpaka bone marrow
Hey baby
Au labda unatumia annointing oil vibaya
Coz unavyorombosa kwa paja rombosa
Sijawai ona
Toto uko heavy nibebe bebe
Nizame topeni nigware gware
Si mi ndiye fundi wa kuchelewesha
Bwana slow motion
Na wazee wa boma walishasema ni we mama lao
Basi mi ndio baba lao (Oooh yaga yaaah)
Na wazee wa boma walishasema ni we mama lao
Basi mi ndio baba lao (Baby)
To-to-to mama
To-to toto mama
To-to-to mama
To-to toto mama
Hey hey toto toto
Unanimada toto ooh, hey toto
Oh toto toto-oh to
Hey hey toto toto
Unanimada toto ooh, hey toto
Hey hey toto toto
Unanimada toto ooh, hey toto
Oh toto toto-oh to
Hey hey toto toto
Unanimada toto ooh, hey toto
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : The African Experience (Album)
Copyright : (c) 2022 Saldido
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
WILLY PAUL
Kenya
Born on September 1, 1993, Wilson Abubakar Radido, better known as WILLY PAUL MSAFI,  ...
YOU MAY ALSO LIKE