Home Search Countries Albums

Looser Ft Muna Party

LETEIPA THE KING

Looser Ft Muna Party Lyrics


Ni vampk
Muna Party again, iyeeiyeeah

Chochote, nachofanya, Kinawapa homa ya ndege
Elnino kichwa na tumboni, nikingara, Najifanya
Nilichapa nimewa bwege, sijui nivae nyong'inyo shingoni
Nikijitenga wanasema Nina matharao, (Huh)
Ati nimetupa mbao (aaaeeh) nanikibonga
Ati najipendekeza kwao (Huh huh)
Mnataka niishi how??
Nawanawika, kanajiringa hakatafika siwapi maskio, (aeeeeh)
Nauhakika hata wakipinga bado ntafika yangu mafanikio ouuuouuuh

Mi ndiye dereva, wa gari la maisha yangu
Sijali mnachosema, maisha ntayaendesha
Am not a looser eeeeeh
Am not a looser ooooooh
Am not a looser eeeeeh
Am not a looser oooooh

Everything I do they are all afte me
Wanajidai, wao manabii
Wanataka maisha yangu yajengwe na maneno yao
Lakini hiyo itabidi wamesahau
Juu kama ni riziki, Mungu ndo anagawa
So hata wakisnitch, siwezi nikapagawa
maaana wote walopata hawakuzaliwa nazo
walifanya mchakamchaka bidii na mkazo
Kila siku kukikucha nimepewa fursa inabidi nijitolee
Kwa bidii natafuta, Niweze kuzinduka hizi shida ziniondokee
Niache kuteseka kwa maisha mi toke Hali ngumu ziwe laini
Walionicheka tunapokutana wapige uso chini

Mi ndiye dereva, wa gari la maisha yangu
Sijali mnachosema, maisha ntayaendesha
Am not a looser eeeeeh
Am not a looser ooooooh
Am not a looser eeeeeh
Am not a looser oooooh

Mi ndiye dereva, wa gari la maisha yangu
Sijali mnachosema, maisha ntayaendesha
Am not a looser eeeeeh
Am not a looser ooooooh
Am not a looser eeeeeh
Am not a looser oooooh

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Looser Ft Muna Party (Single)


Added By : Leteipa the King

SEE ALSO

AUTHOR

LETEIPA THE KING

Kenya

Vampk254 also known as Leteipa the King is an Afro pop music artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE