Home Search Countries Albums

Rudi

CRYSLER

Rudi Lyrics


Crysler Fenesi

Limepasuka sitokuona tena
Kwenye mechi ngarauka sitovimba mwana
Uliniacha na wana wawili Jemima na Jamila Madonge
Mwili wangu ni kiwili wili Bafuni tulienda wawili
Hhaaa aaa aah!
Ukahama bongo kadanganywa firimbi za congo
Kasafiri chombo Eti kisa kiki kwangu shobo
Kindekinde msondo Bolingo nagaya kakonda
Kesi kesi kwa soko mamaaaaa aah!
Tatizo mwezangu walijua (Walijua)
Wee rudi
Tatizo mwezangu walijua (Walijua) Wee rudi

 [CHORUS]
Hhhaah aah! Rudi Rudi nyumbani
We rudi Rudi nyumbani
Hhhaah aah! Rudi (eeh) Rudi nyumbani
Wee (rudi) Rudi nyumbani

Kakopa bima mama chogo
Kadanganyiwa shoga zako
Utaki kula unabania
Unataka twende morogoro Oooh ooh oh!
Uwezo sina kipato kidogo kuridhia Aaagah
Yarabi mola majanga kusudi timiziaa… Mmm
Ukahama bongoe… (Halimae)
Firimbi za congoe (Halimae)
Kasafiri chomboe (Halimae)
Kisa kiki shoboe (Halimae)
Ngurela gurelae (Halima)
Kurumbembe kuru (Halimae)
Lavidavi kwao mamaa…
Ulimbwende huoo!
Tatizo mwezangu walijua(Walijua)
Wee rudi
Tatizo mwezangu walijua (Walijua)
Wee rudi

[CHORUS]
Hhhaah aah! Rudi
Rudi nyumbani
We rudi Rudi nyumbani
Hhhaah aah! Rudi (eeh)
Rudi nyumbani
Wee (rudi) Rudi nyumbani
Hhhaah aah! Rudi
Rudi nyumbani
We rudi Rudi nyumbani

Wireless…

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Rudi (Single)


Added By : Official crysler

SEE ALSO

AUTHOR

CRYSLER

Kenya

Crysler is a recording artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE