Missi Lyrics
Mmh mmh oh msela nimefika mwisho (oo) nimefika mwisho oh msela nimefika mwisho oo wah dunia uniokoe.
Vijalali nimekumissi sana aa kukupenda ndio nataka kufanya aa hivi mwenyezi nimekumissi sana aa prodigal son.
Oh my daddy nimekumissi sana aa kukupenda ndio nataka kufanya oh my daddy nimekumissi sana aa prodigal son.
Nilipenda mabinti kucheza love song huku na kule niliwafuata wale wapenzi weeee.
Nilipokuwa mtoto ulinitunza mimi, kila siku kunitizama mimi hadi wa leo umenipenda mimi mwokozi weeeeeh.
Ningekuwa jambazi ungenipendaaaa hungalicomplain, ningekuwa jambazi ungenipendaaaa hungalicomplain.
Kama msamaha ungekuwa ni bidhaa kina Willy tungekosa raha aaa, umenipenda mimi iii.
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2013
Album : Missi (Single)
Copyright : ©2013
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
WILLY PAUL
Kenya
Born on September 1, 1993, Wilson Abubakar Radido, better known as WILLY PAUL MSAFI,  ...
YOU MAY ALSO LIKE