Hustle Lyrics
Baba saidia, Baba saidia
Ni Shorti Baba
Baba saidia, Baba saidia, nisikose kitu
Nikienda hustle, nisikose kitu
Baba saidia, Baba saidia, nisikose kitu
Nikienda hustle, nisikose kitu
Mi first thing when I wake up
Maombi ni lazima, aii maombi ni lazima
I pray to my maker, eeh amenipa uzima
Aii amenipa uzima
I pray to my Father yes I pray
Na place nakanyaga bless my way
I pray to my Father yes I pray
Nisikose kitu bless my day
Niondolee mikosi, mikosi Baba
Nisikose msosi, msosi Baba
Baba saidia, Baba saidia, nisikose kitu
Nikienda hustle, nisikose kitu
Baba saidia, Baba saidia, nisikose kitu
Nikienda hustle, nisikose kitu
Mathe asiwai nipigia
Anataka nimtumie kakitu mi nikose
Brathe asiwai nipigia
Anataka nimtumie kakitu mi nikose
Ninachouza wanunue, na milango ufungue
Ninachouza wanunue, na milango ufungue
Bariki kazi ya mikono
Na nipate ile nono
Bariki kazi ya mikono
Nipate ile nono
Baba saidia, Baba saidia, nisikose kitu
Nikienda hustle, nisikose kitu
Baba saidia, Baba saidia, nisikose kitu
Nikienda hustle, nisikose kitu
Wasee wa ma3 wasikosee kitu
Mama mboga watu wa mijengo, wasikose kitu
Walimu, malawyer ma pastor
Wasee wa mtaa bora uko wera, usikosee kitu yeah
Yeah yeah yeah
(God bless the work of our hands)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Cheza Gospel (EP)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MOJI SHORTBABAA
Kenya
Moji Shorbaba is a Kenyan gospel artist from Kelele Takatifu which consist of Didi & Moji Shortb ...
YOU MAY ALSO LIKE