Mashallah Lyrics
Aii Mashallah, urembo wako hauna doido
Aii Mashallah, kwa urembo wako ongeza maringo
Aii Mashallah, uzuri wako hauna doido
Aii Mashallah, kwa uzuri wako ongeza maringo
Ooh boy you should know I can't do without you
Ooh boy you should know I can't do without you
Ooh girl you should know I can't do without you
Ooh girl you should know I can't do without you
Aii Mashallah, urembo wako hauna doido
Aii Mashallah, kwa urembo wako ongeza maringo
Aii Mashallah, uzuri wako hauna doido
Aii Mashallah, kwa uzuri wako ongeza maringo
Mtoto msafi umesafisha
Na tena wewe sio gold digger
Heshima unayo unaridhisha
Na tena wewe ndo malaika
Hakuna mwingine atafanya moyo wangu upumzike
Hakuna mwingine mpaka wanizike
Hakuna mwingine atafanya moyo wangu upumzike
Hakuna mwingine mpaka wanizike
Aii Mashallah, urembo wako hauna doido
Aii Mashallah, kwa urembo wako ongeza maringo
Aii Mashallah, uzuri wako hauna doido
Aii Mashallah, kwa uzuri wako ongeza maringo
Kwako nimenoga nimenoga nimenoga
Nimenoga nimenoga mama
Sitaki mwingine mimi na wewe
Ooh kwa mapenzi nimenoga nimenoga
Nimenoga, nimenoga mama
Siendi kwingine ni kwako wewe
Te amo, ooh teamo
Te amo, ooh teamo
Te amo, ooh teamo
Te amo, ooh teamo
Aii Mashallah, urembo wako hauna doido
Aii Mashallah, kwa urembo wako ongeza maringo
Aii Mashallah, uzuri wako hauna doido
Aii Mashallah, kwa uzuri wako ongeza maringo
Aii Mashallah, urembo wako hauna doido
Aii Mashallah, kwa urembo wako ongeza maringo
Aii Mashallah, uzuri wako hauna doido
Aii Mashallah, kwa uzuri wako ongeza maringo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Mashallah (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
WILLY PAUL
Kenya
Born on September 1, 1993, Wilson Abubakar Radido, better known as WILLY PAUL MSAFI,  ...
YOU MAY ALSO LIKE