Mamangu Lyrics

Wewe ndiwe mama tena best friend nakupenda ma.ati wewe ndiwe mama tena best friend.
Kama vile dady aliniwachamamy usiniwache willy
Nyumbani kwangu ni kwako mama×6
Kama vile dady aliniwacha mamy usiniwache willy
Ubonge na mungu akuruhusu ubaki nami mama kama ukishindwa tuma malaika tubonge naye jalali uliniaidi ukingojeka utapona.uliniaidi ukiondoka mama utarudi.uliniaidi utakuwa nami mpaka mwisho.
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Shida kwa wingi umepitia mama wange.
Tatizo ni mingi umepitia mama wange
Lakini umeyashinda umeyashinda we mama wange
Wewe ndo wangu mama wange
Mimi ndo wako mwana wako
Nyumbani kwangu ni kwako mama
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2014
Album : Mamangu (Single)
Copyright : ©2014
Added By :
SEE ALSO
AUTHOR
WILLY PAUL
Kenya
Born on September 1, 1993, Wilson Abubakar Radido, better known as WILLY PAUL MSAFI, ...
YOU MAY ALSO LIKE