Home Search Countries Albums

Trigger Finger

KIM SWAT

Trigger Finger Lyrics

Trigger finger inaniuma kukutuma mi simind
Unashinda kujichocha we ni star but hushine
Shida gani stay on your lane achana na mine
Ju ukicross hearbeat yako inakua tu ni line

Trigger finger inaniuma kukutuma mi simind
Unashinda kujichocha we ni star but hushine
Shida gani stay on your lane achana na mine
Ju ukicross hearbeat yako inakua tu ni line

We ni snitch nigga siwezi kuamini
Hater bado huwezi kuwa mimi
Nimecome na ndeng'a fala amecome na mpini ya nini?
Kim jina biggy mbele yangu hakuna mbogi inanyamba mjini
We tu ni cross na kitu nitakufanya 
Unaweza dhani mi ni jini

Mchuma ni auto my nigga kwa kifua shimo thelathini
Chukua kitabu na kalamu u take notes skiza kwa makini
Niite Kimani man a driller pande yangu there's no singing
Wakali ndio rende ukichachisha ni scene
Makali kwa wingi nachoma mbichwa na taxin
Na luku pia ni fisa kama rain we dripping
Kwa kichwa ni mistari dem yako am eating

Nakukang kang na nakam kwa mazishi kukula
Sai chura iko na ball ni kama pongi nilipura
Shit sitai kata tena ju chura haikuwa na sura
Ni vile nililewa nikaskia deki imefura

Trigger finger inaniuma kukutuma mi simind
Unashinda kujichocha we ni star but hushine
Shida gani stay on your lane achana na mine
Ju ukicross hearbeat yako inakua tu ni line

Trigger finger inaniuma kukutuma mi simind
Unashinda kujichocha we ni star but hushine
Shida gani stay on your lane achana na mine
Ju ukicross hearbeat yako inakua tu ni line

------
-----

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2021

Album : Trigger Finger (Single)

Copyright : (c) 2021

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KIM SWAT

Kenya

Kim Swat aka Mr Kang Kang is an artist from Kenya. He teamed up with Iano Ranking to from Wakali wao ...

YOU MAY ALSO LIKE