Hallelujah Lyrics
Umeninogesha na mapenzi matamu
Umeninogesha baby I got love
Umeninogesha na mapenzi matamu
Umeninogesha baby I can't deny
Mwana mkunaji
Limemkuta pele(ka kololo)
Michezo ya Selina
Kuchezea na nywele(ka kololo)
Mwenzako mapenzi yamenizidia
Ukiniacha nitakufa nitaning'inia
Kwa yako mapenzi nimekunywa bia
Mi nilewe(ka kololo)
Hallelujah eeh
Utasema hallelujah(ka kololo)
Hallelujah eeh
Utasema hallelujah(ka kololo)
Mi ni fundi mwenye slow motion
Matendo yangu slow but kwenye motion
Mi ni fundi mwenye slow motion
Matendo yangu slow but kwenye motion
(ka kololo)
Mama nitek, eeeh
Nitekenye nicheke, eeeh
Unacirculati
Mpaka mapepo zangu zina vaporati
Hapo juu beiby vibrati
Mwenzako chini nifanye kama ground shaker
(ka kololo)
Eeh bwana mkunaji
Limemkuta pele(ka kololo)
Michezo ya Selina
Kuchezea na nywele(ka kololo)
Hallelujah eeh
Utasema hallelujah(ka kololo)
Hallelujah eeh
Utasema hallelujah(ka kololo)
Mtoto wa Uswahilini(yeah)
Nipe mapenzi ya kiswazi
Umeiombea, nikakupatia,
Basi mpenzi iwe siri(ka kololo)
Umeiombea, nikakupatia
Basi mpenzi iwe siri
Mapigo yatapishana(chonde)
Usije kuniachana(chonde)
Tukatoana maaana(chonde)
Yaani wewe(kakololo)
Hallelujah eeh
Utasema hallelujah(ka kololo)
Hallelujah eeh
Utasema hallelujah(ka kololo)
Wala hunaga uoga uoga
Navyo ndondosha moja moja
Unavyopandaga chuma mboga
Yaani wewe(ka kololo)
Mapigo yatapishana(chonde)
Usije kuniachana(chonde)
Tukatoana maaana(chonde)
Yaani wewe(kakololo)
Ka kololo, ka kololo
Ka kololo, ka kololo
Ka kololo, ka kololo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Hallelujah (Single)
Copyright : (c) 2019 Saldido International.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
WILLY PAUL
Kenya
Born on September 1, 1993, Wilson Abubakar Radido, better known as WILLY PAUL MSAFI, ...
YOU MAY ALSO LIKE