Home Search Countries Albums

Bure Kabisa

WILLY PAUL

Bure Kabisa Lyrics


Mpenzi wa aina gani?(Pozzee)
Unapenda nikilia lia
Mpenzi wa aina gani?(Motif Di Don)
Unapenda nikihuzunika

Ulidanganya unanipenda
Oooii mama
Ulidanganya unanijali
Oooh mama

Baby go, we ni bure kabisa
Umenidanganya umenivunja moyo kabisa
Baby go, we ni bure kabisa
Umenidanganya umenivunja moyo kabisa

Kwa marafiki nilikusifia
Hata kwa adui nikakusifia
Aah mnyoji dodo
Banana follow

Iyo shepu wowo
Bure kabisa
My beiby wowo
Bure kabisa

Tulikosana na mama yangu
Sababu yako mpenzi wangu
Nilidhani unanipendaga eeh
Kumbe kila mtu anakupandaga ee

Mbona moyo wangu unauvunja mama 
Bila huruma
Ooooh ooh...Mbona unanitesa
We mama wee....mama wee

Baby go, we ni bure kabisa
Umenidanganya umenivunja moyo kabisa
Baby go, we ni bure kabisa
Umenidanganya umenivunja moyo kabisa

Baby go!

Kwa kunivunja moyo, Bure kabisa!
Oooh moyo wangu, Bure kabisa!
We ni bure sana, Bure kabisa!
Kwenda kabisa, Bure kabisa!

Usirudi mama, Bure kabisa!
Umenichoka mama, Bure kabisa!
Nimekuchoka mama, Bure kabisa!
Usirudi tena....

Baby go, we ni bure kabisa
Umenidanganya umenivunja moyo kabisa
Baby go, we ni bure kabisa
Umenidanganya umenivunja moyo kabisa

Baby go!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Bure Kabisa (Single)


Copyright : (c) Saldido International


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

WILLY PAUL

Kenya

Born on  September 1, 1993, Wilson Abubakar Radido, better known as WILLY PAUL MSAFI,  ...

YOU MAY ALSO LIKE