Intro Lyrics

Kama mapenzi ndio kitu hoja
Nitakupenda hadi zaidi
Usije shuku hata mara moja
Nitakupenda nimeahidi
Na wenye wivu watakuja na maneno
Usijali me ntafanya kwa vitendo
Nipende me nilivyo oh hata Kama siko ligi soo
Nipende me nilivyo oh hata Kama siko ligi soo
Nifike kwako moyoni mwako nataka
We uwe karibu nami
Nifike kwako moyoni mwako nataka
We uwe karibu nami
Nipende me nilivyo
Tutapanda hadi ligi sooo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Beneath The Surface (EP)
Copyright : © 2022 Luhya Heat Entertainment
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
CHARISMA
Kenya
Kenyan musician Fidel Shammah known as Charisma aka Luhya Heat and Mr Sababisha is a pop artist who ...
YOU MAY ALSO LIKE