Home Search Countries Albums

Atoti Jaber Lyrics


(Saldido)
Mtoto jaber (Aah) 
Atoti jaber (Aah)
Mtoto jaber (Aah) 
Atoti jaber (Aah)

Atoti mama (Jaber jaber)
Oh Atoti mama (Jaber jaber)
Atoti mama (Jaber jaber)
Oh Atoti mama (Jaber jaber)

Nyathini nang'i - mtoto jaber, jaber
Nyathini nang'i - mtoto jaber, jaber
---
-

Umefanya nilale kwa kanisa
Kwa sababu nakuwaza atoti
Ah ni mwana mkunaji 
Ona vile umetowia

Hapo nyuma kuna litre ngapi?
Na hizo mitungi ni kilo ngapi?
Girl I love the way you whine
Oh the way you whining

Atoti Jaber, umetudatisha Atoti
Hapa Nairobi, ah Atoti
Umetumada Atoti
Hapa Kisumu City kwa Aguambo

Atoti mama (Jaber jaber)
Oh Atoti mama (Jaber jaber)
Atoti mama (Jaber jaber)
Oh Atoti mama (Jaber jaber)

Nyathini nang'i - mtoto jaber, jaber
Nyathini nang'i - mtoto jaber, jaber
---
-

Hit below the belt oh no
Atoti nega mama, inega
Pole pole inega mama, inega
Chini kwa chini inega mama, mama inega
Atoti inega mama

Atoti hakuna hata huruma
Unanimada bila hata huruma (Mama inega)
Hakuna hata huruma
Unanimada bila hata huruma (Mama inega)

-----
Musa Jakadalla 
---

Atoti huna aibu
Na aibu unapata

Atoti Jaber, umetudatisha Atoti
Hapa Nairobi, ah Atoti
Umetumada Atoti
Hapa Kisumu City kwa Aguambo

Atoti mama (Jaber jaber)
Oh Atoti mama (Jaber jaber)
Atoti mama (Jaber jaber)
Oh Atoti mama (Jaber jaber)

Nyathini nang'i - mtoto jaber, jaber
Nyathini nang'i - mtoto jaber, jaber
---
--

[Musa Jakadalla]

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Atoti Jaber (Single)


Copyright : (c) 2022


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

WILLY PAUL

Kenya

Born on  September 1, 1993, Wilson Abubakar Radido, better known as WILLY PAUL MSAFI,  ...

YOU MAY ALSO LIKE