Home Search Countries Albums

Ka Hauna

JOEFES

Read en Translation

Ka Hauna Lyrics


Zurungush kahaga soft dem nakupeana loan

Ukibend dish yangu unang’ada

Changia ka una doh, nina doh

Zinga leo ah hautalamba

Na ka haukai poa, hukai poa, ka hukai poa

Unatoa form, na ka ka hauna, ka ka hauna

Ka ka hauna, unakaa home

Na ka haukai poa, hukai poa, ka hukai poa

Unatoa form, na ka ka hauna, ka hauna

Ka ka hauna, unakaa home

Yooh mmhh

Ye ni solulu, nilidhani hii ni delulu

Nikiitwa mi ni kalulu natoka kule kamulu

Kafiki dofka ama navuta zote naitisha mpaka

Karoaster niko na kiu unaeza niita kamnyota

Lakini lazima nimkate nimeitisha mpaka soda

Kamogoka namshika neck leo ni murder the case

Alafu namuita base leo ni fire at the base

Haiwezi kaa offense hata ka anaguess

Ashanieka spent juu sijui kuspell

Come again my queen it’s not there

Na ikiisha narefill it’s not fair ebu fanya your thing

Odi machine ninakam ka linggg ka clean

Na ka haukai poa, hukai poa, ka hukai poa

Unatoa form, na ka ka hauna, ka ka hauna

Ka ka hauna, unakaa home

Na ka haukai poa, hukai poa, ka hukai poa

Unatoa form, na ka ka hauna, ka hauna

Ka ka hauna, unakaa home

Singerudi Egypt kama ningekuwa kairo

My only fan na anangoja niende viral

Ka ni mtaro hata upige mtaro

Looking for Caro alihata daro

Ka ni mpeng nitasaka njaro

Anipee anipende, ka ni shein basi iende

Basi iyee basi itembee

Basi iyee basi katambe

Tuko tuko biee, tuko biee

Nasafisha ka kipara ya Bien

Huwezi sema zii,hii ni mbogi ya jane

Sahii nina mbao juu alikuja na ten

Katen alikuja na ten

Zurungush kahaga soft dem nakupeana loan

Ukibend dish yangu unang’ada

Changia ka una doh, nina doh

Zinga leo ah hautalamba

Na ka haukai poa, hukai poa, ka hukai poa

Unatoa form, na ka ka hauna, ka ka hauna

Ka ka hauna, unakaa home

Na ka haukai poa, hukai poa, ka hukai poa

Unatoa form, na ka ka hauna, ka hauna

Ka ka hauna, unakaa home

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2025


Album : (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

JOEFES

Kenya

Joefes was born in Kisumu City, Kenya in the mid-90s and named Joseph Getugi Nyamweya then later nic ...

YOU MAY ALSO LIKE