Home Search Countries Albums

Huendi Mbinguni

WHOZU

Huendi Mbinguni Lyrics


[INTRO]
Switch! Whoozu
Yeeza mahn yeezaya
Put the fire upon them
Lord have mercy
(Itz S2kizzy  baby)
Whoozu Man Mbinguni Man

[VERSE 1]
Naona kisa kujuana
Umezidisha sifa mpaka umenioa vibaya
Style za si-ngeli nacheza nyimbo za choir
Umeninyima lifti uncle una roho mbaya
Vivua vina yumbu kama ume expire yeah
Cheki mwili mzima umeijichoraa tattoo
Unawadhaurizi mchuna ukapa nafuu
Vitu vyako feki bado unauza bei juu
Unajisahaulisha chenji unaminya juu juu

Watasema eeh eeeh napiga kelele
Maneno maneno mengi na kiherehere
Kubishana mi sipendi, naomba muelewe
Ila ukweli ndio ( huooo)

[CHORUS]
Huendi mbinguni
Huendi mbinguni
Huendi mbinguni ( ye ye ye ye)
Huendi mbinguni ( ye ye ye ye)
huendi mbinguni

Ndo ushafelii eeh ( huendi mbinguni)
Huo ndo ukwelii eeh (huendi mbinguni)
Ndo ushafelli ( huendi mbinguni)
Huo ndo ukwelii aah

Ati unakula bia
Na kwenyu haujajenga
Achanga urwambi una culture pewa
Posa haijafika unamsnitchi mshenga
Shepu sio yako, ume edit pic ( ayaya)
mtumishi unasinzia ibadani
Unatia uwongo mpaka msibani
Nikiwa serious unafanya utani
Unanibeep alafu haupatikani

Cheki mwili mzima umeijichoraa tattoo
Unawadhaurizi mchuna ukapa nafuu
Vitu vyako feki bado unauza bei juu
Unajisahaulisha chenji unaminya juu juu
Watasema eeh eeeh napiga kelele
Maneno maneno mengi na kiherehere
Kubishana mi sipendi, naomba muelewe
Ila ukweli ndio( huooo)

[CHORUS]
Huendi mbinguni
Huendi mbinguni
Huendi mbinguni( ye ye ye ye)
Huendi mbinguni( ye ye ye ye)
Huendi mbinguni
Ndo ushafelii eeh( huendi mbinguni)
Huo ndo ukwelii eeh( huendi mbinguni)
Ndo ushafelli( huendi mbinguni)
Huo ndo ukweliiii
Huendi mbinguni
Huendi mbinguni
Huendi mbinguni
Huendi mbinguni
S2kizzy baby
                         

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Huendi Mbinguni (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

WHOZU

Tanzania

Whozu Andaskoo is a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE