Aah WAP !! Lyrics

Nitrend nimeachika
Si nipost Juma Lokole (Aah wapi)
Yaani nianze kufilisika
Alafu nijifanye mlokole (Aah wapi)
Yaani mimi sindio kula
Yaani kisa tumeachana(Aah wapi)
Akaacha ukini ublock
Kesho yake tunaruidiana (Aah wapi)
Sema aah wee, aah wapi?
Sema tena aah wee, aah wapi?
Yaani unipeleke disco
Nirudishe bila demu (Aah wapi)
Nisikujigi jigi
Kisa unaniitaga shemu (Aah wapi)
Nitume na ya kutolea
Hujawahi nipa game (Aah wapi)
Vunja bei na Mobetto
Eti ni mtu na shemu (Aah wapi)
Sema! Aah wee, aah wapi?
Sema! Aah wee, aah wapi?
Sema! Aah wee, aah wapi?
Sema! Aah wee, aah wapi?
Eti mwanamke hapigwi
Analabwa kisigino (Aah wapi)
Naskia Shilole
Uchebe kamng'oa jino (Aah wapi)
Nesi katumwa majibu
Eeh kaleta kipimo (Aah wapi)
Ana kasura kazuri
Ila ana bonge la shii (Hahaha)
Sema aah wee, aah wapi?
Sema tena aah wee, aah wapi?
Ati mpaka nikuposti
Ndo ujue nakupenda (Aah wapi)
Kwanza mapenzi hayafosi
Kama hutaki kwenda (Aah wapi)
Sawa nakunywa Henessy
Boss anakunywa safari (Aah wapi)
Kaagiza kuku mzima
Boss kaagiza kidari (Aah wapi)
Sema! Aah wee, aah wapi?
Sema! Aah wee, aah wapi?
Sema! Aah wee, aah wapi?
Sema! Aah wee, aah wapi?
Aah wapi? Aah wapi?
Aah wapi? Aah wapi?
Aah wapi? Aah wapi?
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Aah Wap!! (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE