Coco Lyrics

Mi nawe toka tuianze yetu safari
Sijawahi kujuta, kujuana nawe
Wapige mawe, wakisha tu kutuona kwa mbali
Tushajenga ukuta, ooh mimi nawe
Unayejua kunikaba
Kunibembeleza kimahaba
Pete kidole uvishe pete
Oh my love
Uwe mama niwe baba
Watoto tuwajibu marahaba
Dhumuni langu tuishi wote
Ooh my love
Jicho la kusinzia
Midomo ya kunipeleka kule
Ukija niacha nitaumia
Nitange tange kama msukule
My heart de feel
Unabamba bamba, unabamba
Sioni sisikii
Unabamba bamba, unabamba
Ooh my love
My coco, my coco, my coconut
The only one for me
Baby you're my coco
My coco, my coco, my coconut
My coco, my vanilla
Sintotanga tanga kama mpira
Watakao nidanga ni matahira
Hawapati kitu
Wacha wakeshe popo kusoma dira
Wale waganga moko hata madera
Hata tukila msoto inawakera
Hawapati kitu
Zile motigbana, moti-elevate
Navyokupenda haielezeki
Ukifua nguo mi napiga deki yeah
Zile motigbana, moti-elevate
Navyokupenda haielezeki
Ukifua nguo mi napiga deki yeah
My heart de feel
Unabamba bamba, unabamba
Sioni sisikii
Unabamba bamba, unabamba
Ooh my love
My coco, my coco, my coconut
The only one for me
Baby you're my coco
My coco, my coco, my coconut
Zile motigbana, moti-elevate
Navyokupenda haielezeki
Ukifua nguo mi napiga deki yeah
My coco, my coco, my coconut
My coco, my coco, my coconut
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Nipokee/ Coco (EP)
Copyright : (c) 2020 Lykos Empire 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
PRODUCER BONGA
Tanzania
Producer Bonga is a Musician | Sound Engineer | Music Producer signed under Lykos empire from Tanzan ...
YOU MAY ALSO LIKE