Summertime Lyrics
Summertime nikuone
Summertime girl we own it
I say me want no drama (My sherrie)
Mtoto mzuri ile unang'oka hapa(My sherrie)
Nitakulea kama your papa (My sherrie)
Chini kwa china mama go gaga
Summertime nikuone
Summertime girl we own it
Vile unawekaga viti you killing it (Killing it)
Unanipaga vitu you killing me (Killing me)
Mbona tuko mavitani shigidi (shigidi)
Wicked, wicked, wicked, shigidi (shigidi)
Wananuna nuna ni wanga
Twende maghetoni mchanga
Madeko ka mtoto mchanga
Kitumbua hakina mchanga
Eey ni tubikini tu
Unavyo kizungusha unanichanganya boo
Si you know lakini boo
Kama huu ni moto wacha uniunguze tu
Mzee ninapo itwanga, mama ipepete tu
Sitoki mtu, vilingi vya sumbua mi sitoki tu
Mzuka ukinipanda, kwenye parking tu
Na come through, mama come through (Fire)
Summertime nikuone
Summertime girl we own it
I say me want no drama (My sherrie)
Mtoto mzuri ile unang'oka hapa(My sherrie)
Nitakulea kama your papa (My sherrie)
Chini kwa china mama go gaga
Summertime nikuone
Summertime girl we own it
------
------
Summertime nikuone
Summertime girl we own it
I say me want no drama (My sherrie)
Mtoto mzuri ile unang'oka hapa(My sherrie)
Nitakulea kama your papa (My sherrie)
Chini kwa china mama go gaga
Summertime nikuone
Summertime girl we own it
Haha, tulivyo timba ndani ya dimba
Nilivyo vimba, nipo na swala dume la simba
Sishiki simu si pelelezi (Wazi)
Sishikwi mwizi sijielezi (Wazi)
Mambo kichagaa, kinyamwezi (Wazi)
Bonge la nyota nipo na mwezi (Wazi)
Vile unajua kupenda ni noma
Summertime hii hapa eeh noma
Tujiachie Samantha (Noma)
Nataka ni kuone yeah noma
Vile tunakalisha wamekubali kaa
Vida na vida loca tuwaache mataa
Vile unazipangia nakubali umeng’aa
Make up nimeikubali sasa twende mamaa
Summertime nikuone
Summertime girl we own it
I say me want no drama (My sherrie)
Mtoto mzuri ile unang'oka hapa(My sherrie)
Nitakulea kama your papa (My sherrie)
Chini kwa china mama go gaga
Summertime nikuone
Summertime girl we own it
My sherii, my sherii oo
My sherii, my sherii oo
My sherii, my sherii oo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Air Weusi (Album)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
WEUSI
Tanzania
WEUSI is a hip hop music group made up of Joh Makini, G Nako, Lord Eyes and Nikki wa Pili from Tanza ...
YOU MAY ALSO LIKE