Home Search Countries Albums

Uinuliwe

JOYCE OMONDI

Uinuliwe Lyrics


Hallelujah pokea sifa wewe ni Bwana uinuliwe
Hakuna Mungu kama wewe eh Yahweh ni wewe wewe pekee
Wewe peke yako
Ni we wa kuabudu na wa kutamani juu mbinguni na duniani
Na duniani
Mwaminifu we nitaeleza sifa zako eh Bwana umetukuka
Wote wajue Ukuu wako wadumu milele na milele
Hallelujah pokea sifa wewe ni Bwana uinuliwe
Hallelujah pokea sifa wewe ni Bwana uinuliwe

Hakuna wa kufananishwa nawe Yesu wanitosha wanitosha
Kwa moyo wangu wote nasema ni asante nashukuru Baba nakupenda
Na wote na malaika maserafi na makerubi napaza
Sauti nikisema mtakatifu ni wewe we Mwenyezi Mungu
Hallelujah pokea sifa wewe ni Bwana uinuliwe
Wastahili Wastahili sifa zote
Sifa zote ni zako
Wastahili Wastahili utukufu wote Baba
Utukufu wote ni wako
Wastahili Wastahili uwezo wote
Uwezo wote ni wako
Wastahili Wastahili Wastahili upendo wote
Upendo wote ni wako
Hallelujah pokea sifa wewe ni Bwana uinuliwe
Hallelujah

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2014


Album : Uinuliwe (Single)


Copyright : ©2014


Added By : Trendy Sushi

SEE ALSO

AUTHOR

JOYCE OMONDI

Kenya

Joyce Omondi Waihiga is a gospel singer and songwriter who loves leading people in worshiping the Ki ...

YOU MAY ALSO LIKE