Waiter Lyrics
Ah hebu waiter leta leta bia
Leta glass mbili yaani weka adisia
Kuja tu na bill yaani mi nagharamia
Ni kujinyc kujinice hadi gware
Cheki,
Ni kuzitoka, ni kubanjuka
Ni kukatika ata kama zimeshika now
Ni kuzitoka, ni kubanjuka
Ni kukatika ata kama zimeshika now
Hii stori inanibamba, na pia inaniguza
Leo ni kusere pamoja na wasupa
Tuko ndani ya bukla tumeshika machupa
Speed ndogo ndogo hakuna cha pupa
So, ita waiter ekelea makali mezani
Wakali mafathe hucheza magizani
Makali ma Barley najua hawawezani
Machali, machile tuwapeleke kejani
Ah, hebu waiter leta leta bia
Leta glass mbili yaani weka adisia
Kuja tu na bill yaani mi nagharamia
Ni kujinyc kujinice hadi gware
Cheki,
Ni kuzitoka, ni kubanjuka
Ni kukatika ata kama zimeshika now
Ni kuzitoka, ni kubanjuka
Ni kukatika ata kama zimeshika now
Kuzitoka kubanjuka, jiachilie mabega
Kama tu wahenga, kanashikanga kapienga
Mchuma ndani kwa toja nimejipin ndeng'a
Ngeus huku akinena ni marungu kumzeka
Nipige ka firimbi, nipulize ka kipenga
Mashot, nizisend, areceive kama Sender
Piga dry chok, iko form ukichomwa
Morio ngori tuko chuom, tenje anatokwa
Hebu waiter leta leta bia
Leta glass mbili yaani weka adisia
Kuja tu na bill yaani mi nagharamia
Ni kujinyc kujinice hadi gware
Cheki,
Ni kuzitoka, ni kubanjuka
Ni kukatika ata kama zimeshika now
Ni kuzitoka, ni kubanjuka
Ni kukatika ata kama zimeshika now
Nishaspoti kadem niko isaa ya kushuka
Kajing nishatema niko isaa ya kutuna
Cheki tu ni late, haraka si hatuna
Walenje tu kwa pori ninaskia inakuna
Mi nakata maji, hadi isinichome liver
Na tire nitawasha, nitachoma nitaiva
Alafu late night, ni kuteka tu madiva
Kwanza ni ka nyako, mahaga kameiva
Hebu waiter leta leta bia
Leta glass mbili yaani weka adisia
Kuja tu na bill yaani mi nagharamia
Ni kujinyc kujinice hadi gware
Cheki,
Ni kuzitoka, ni kubanjuka
Ni kukatika ata kama zimeshika now
Ni kuzitoka, ni kubanjuka
Ni kukatika ata kama zimeshika now
Hebu waiter leta leta bia
Leta glass mbili weka yaani adisia
Kuja tu na bill yaani mi nagharamia
Ni kujinyc kujinice hadi gware
Cheki,
Ni kuzitoka, ni kubanjuka
Ni kukatika ata kama zimeshika now
Ni kuzitoka, ni kubanjuka
Ni kukatika ata kama zimeshika now
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Waiter (Single)
Copyright : (c) 2019 Wakali Wao.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
WAKALI WAO
Kenya
Wakali Wao is a music crew from Kenya made up of Kim Swat and Iano Rankings....Prr Kang Kang. They c ...
YOU MAY ALSO LIKE