Home Search Countries Albums

Urao Lyrics


Yao Yao Prrrrr
(Wakali Wao Yao Yao)

Pigwa rungu rungu na fimbo ya Pharaoh
Wakuwe ni chura ama rangi ya Thao
Kakuwe na nyuma na sura ni nyang’au
Nazikemba nazibeba juu ka karao

Mangoko wabebwe wasikie urao
Mangoko watekwe wasikie urao
Kuwapea makali Konyagi na Kibao
Zikishika toa kutu rungu nimembao

Mangoko wabebwe wasikie urao
Mangoko watekwe wasikie urao
Kuwapea makali Konyagi na Kibao
Zikishika toa kutu rungu nimembao

Mi ndo msee niko duiya matembe
Kadebe aluta kakishika na mdenge
Mtepe Konyagi kibao nimteke
Shikuku kuwake Shikweke

Ngoko mimi ndio jogoo wewe ndio mwewe
Cheza kiwewe uwache umwere
Qwela Kiguta ukiinamia
Ju ju nakupanda ka ngamia juu

Du, du rungu ah we kalia
Hapana chachisha kama mama wa ploti
Kwanza inama nyembe pongi sitoki
Chuma sindano twawatibu kama doki

Pigwa rungu rungu na fimbo ya Pharaoh
Wakuwe ni chura ama rangi ya Thao
Kakuwe na nyuma na sura ni nyang’au
Nazikemba nazibeba juu ka karao

Mangoko wabebwe wasikie urao
Mangoko watekwe wasikie urao
Kuwapea makali Konyagi na Kibao
Zikishika toa kutu rungu nimembao

Mangoko wabebwe wasikie urao
Mangoko watekwe wasikie urao
Kuwapea makali Konyagi na Kibao
Zikishika toa kutu rungu nimembao

Naskia urao ju kwanza siko Tao
Cheki niko ma-area kwa meza ni mathao
Si unajua nina na mangoko wanachekesha Mathayo
Kinena si kibonoko kang kang mara mbao

Nikishapiga chuom kwanza masaa sina form
Mi hu washa kindom kwanza ki-pure kibom
Cheki waria hane si unajua nabonga sana
Siwezi bonga kizungu ya Dar nikate Chrome

Uliza Imbo
Walisema hana ball
Aki leo nakushow
Si analia ako na ball
Mtu ka mi na glow
Kam wrong kula blow
Nikienda kuperform ni ma Igwe wakibow

Pigwa rungu rungu na fimbo ya Pharaoh
Wakuwe ni chura ama rangi ya Thao
Kakuwe na nyuma na sura ni nyang’au
Nazikemba nazibeba juu ka karao

Mangoko wabebwe wasikie urao
Mangoko watekwe wasikie urao
Kuwapea makali Konyagi na Kibao
Zikishika toa kutu rungu nimembao

Mangoko wabebwe wasikie urao
Mangoko watekwe wasikie urao
Kuwapea makali Konyagi na Kibao
Zikishika toa kutu rungu nimembao

Dudu fisi sai mi ni simba
Girimba kama caterpillar nawachimba
Kutu ya jaba na jing' kakilimba
Zikishika toa kutu ni tu kuririma

Walibonga wakisema nitachapa
Ona sai sherehe ninapiga za kipapa
Cheki tu kwa pori nimejipin makapa
Nyonyo yako jipa ju mi ni rapper

Pigwa rungu rungu na fimbo ya Pharaoh
Wakuwe ni chura ama rangi ya Thao
Kakuwe na nyuma na sura ni nyang’au
Nazikemba nazibeba juu ka karao

Mangoko wabebwe wasikie urao
Mangoko watekwe wasikie urao
Kuwapea makali Konyagi na Kibao
Zikishika toa kutu rungu nimembao

Mangoko wabebwe wasikie urao
Mangoko watekwe wasikie urao
Kuwapea makali Konyagi na Kibao
Zikishika toa kutu rungu nimembao

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Urao (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

WAKALI WAO

Kenya

Wakali Wao is a music crew from Kenya made up of Kim Swat and Iano Rankings....Prr Kang Kang. They c ...

YOU MAY ALSO LIKE