Kibra my Home (KMH 1) Lyrics
Yeah yeah yeah yeah
V.I.R.U.S, virus jo
Beat ni ya jigger
Hawa ma Mcee wanajifanya wajinga
Eti wanajiita manigga
Huh acha tuwashow venye si hukamigi through
Tukirepresent hood yetu 4 x 2, 16 divide by 2
10 minus 2, 6 plus 2
Okey sai niko so happy kushinda mix ya STL na Kantai
Hata ukuje na Nonini niko sure hamwezi kataa hii
Mi na wewe hatuwezi bro hata kama umefunga tai
Na ka unaona ni sifa du si unaeza nitry
Niko rada hawa wasee wananicheki unaeza fikiria naitwa Look
Nimepotea mpaka nishakuwa mteja Facebook
Mteja mpaka calls of nature
Uliza Juma kwa wanaume TMK si ni nature
Lakini sai situation iko so confusing
Ka kuona wanaume TMK Mama awards
Mi ni mbaya mpaka nikimeet buda ya Lil Wayne
Tunaanzisha familia ya birds
Kila show lazima tumake sure tumepiga ma guards
Rhymes kwa brain zinakuwanga unwritten ka tissue
Kubamba mafans kwangu si issue
Give up ju najua ushalemewa
Mi utaniget niko tao niko maji ka msee amenyeshewa
Wengine wako on air na track hazina hewa
Sijui nini ulipewa, nini hukupewa
Nini ulipewa, nini hukupewa
Cheki hawa ka ni kupigania power mi nishanawa
Nakam na vitu mpya unaeza ziita news
Huwezi think ka mimi kwa brain utachoma fuse
Nilisumbua Sunday school teacher
Akanishow sitawai kanyaga heaven
Class 8 nilikuwanga dingo
Seco admission namba yangu ilikuwa AK47
Life yangu ilikuwa opposite ya hii style
Ju sijawai feel nikiwa free
Nikiwa 3G already nilikuwa nishaanza
Kushika mavitu kama G3
Sikuwahi give a fuck about degree
Reason kila sato naget girls schools nikiwa address
On how always wakinicheki wana undress
Ka electric train bado nakam vi Express
Na ka nimekuboo unaeza nidiscuss na Ophrah
Ju according to venye naspit unaeza ni nickname Cobra
Ka nimespit masentence ka judge
Ruthing to be extra large
Na ka tuko na grudge nakumada on the spot
One time ka mlevi anakunywa tot
Kwa mziki aim yetu ni kuinvest
Tuanze kuvaa mashati na in vest
Ka mtihani nakam nikiwatest
Wameingiza maji ka wasee wa homeboyz
Naskia wakijisifu eti wako na good voice
Na wakitema kenye utaskia tu ni noise
Maconda wanadai niko unfair ju silipangi ndae
Na sai mi nina madeni mob mpaka mi hutembea ka najidai
Kabla utaje jina Kibera kwa ngoma yako tumia akili
Fikiria ka mtu mbili acha kufikiria ka tumbili
Mi hudu biz za kijua kali
So daily utanipata nimerauka ka Mohammed Ali
Naenda Mosque na majibu ju naskia watu huko wana swali
Narapa mpaka mafala wanasema Virus si usare
Cz nina flow mwenda ni ka dem ako periods Mathare
Talent mbichi kutoka KIBERA
Ukitaka kutuseparate ni ngumu
Ni ka kuambia madem waishi kwa undugu
Tunatangaza amani na kwa kona tumejaza panga na rungu
Nikistand tall, mi huwalk tall
Nataka ku achieve my goal na refa ashahepa na ball
Reason utaniget nimevaa slippers nikienda kulala
Na prefer Arab money to madollar
Na prefer Rihanna to Madonna
For Christ sake ukiskiza venye narap
Utajua we ni redefinition ya kitu fake
Wasee kutupress tukipass, hatujali kuhusu borders
Tulisha trepass kwa hii track nilisha add gas
So iko na enough hewa nashangaa kwanini haiko on air
Nimekam kuwaprove ia twins si fair
Unaeza do bila moja niwasare wakiongea
Nimekuwa nikirap for 3 year
Na nimenotice mi huskizagwa na 3 ears
The right ear, the left ear and the mid ear
To be sincere, if you are not here, huwezi nihear
Mahaters tunawastep hadi naitwa wa kambo
Nimekam na stori za kitambo
Incestors wanajidai mahardcore
Na sura zao ni warembo
Washagameiwa kwa competition
Na wanadai compensation
Kurap mi siwezi acha ju ni ka storm
Sa zile wanamake it rain nafanya nakam ka storm
Njukumo bado ishablock my sin app
Pastor anaskizaga hadi anashindwa kuprove
Kenye amekunywa si naps
Ka we ni pi siwezi kurate
Mi ni Mcee nasaka venye nitamada
Hawa wasee wenye hupirate
Hii style ni free ka mgondi mwenye amehepa net
Wanadai mi si mkind
Reason nikirap wanaelewa chenye namean
Mcees tunawaclean, hii verse tuko set out
Words all work mcees, cz naeza tumia two words
Na nikill most of hawa mcees
Sai visa za mcees kumadwa zimeincrease ka kwa airport
Mistari ukisota kam nikusort
Uliza bank slips nina compe ya kuchora
Na results tukashut tumedraw
Mi huboeka sana nikiskia ati Frasha ni king wa flow
Na ati king wa rap ni Collo na wote wako solo
Ka msee ako peke yake
Hata sai wakiamua eti wanisake
Niko sure hawawezi ni sue hii side
So kitu inafaa wadu ni
Wachukua kamba waende wasuicide
Wako na too much pride na hakuna kitu wanaweza hide
Mi nitaserera ile day nitanotice
Difference kati ya letter o na zero
Unanihate na manzi yako huniitanga hero
Eeh kwa hii game, niliwaambia hii game ni ka dimba
Uliza Mapangala si ndo tunaisamba
Your Mcees hawawezi flow ka dem ako na mimba
Uliza wasee wa Pipeline mi ndio plumber
Wamejaribu sana lakini wameshindwa kunifikia
Cz kwa hii game tuna exercise ka vitabu za kuandikia
Ignored out hata ukiwa nnje bado tunakupiga ma knock out
Sa hiyo tumeingiza madem wengi box
Mpaka heart yangu inakataa book ya mao
Nakuwanga mbele hawa kwa -na nyuma ka mahomo
Ka mama kazi yao ni mdomo
Wanategemea tu mapromo
Hata ka unastay kwa nephew wako
After hii utabaki on your knees
Nawadai please usidai beef na haufai kuandika diss
VIRUS namba nane YGB yoh
Hii tunadedicate ia wasee wote jo
Big up OCTO
Big up chief
Big up Bankslave
Na Kayforce mzima
YGB
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Kibra my Home (KMH 1)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE