Home Search Countries Albums

Kajanje

VIRUSI MBAYA Feat. BREEDER LW

Kajanje Lyrics

Ni kafala kajanje
(Alex Vice)

Alijifanya kajanje mwishowe alizamwa katenje (Kajanje)
Alijifanya kajanje mwishowe alikosa walenje (Walenje)
Huyo sasa ako stenje anaripoti alizamwa hadi tonje
Huyo sasa ako stenje anaripoti alikosa hadi walenje

[Breeder LW]
Mtaani kunoma hakuna security ka Tuskys
Alitokwa walenje tenje mbota na carkeys
Utaperembwa bila hata presha yaani ni at ease
Na vile jina ni biggy na niko na swali 
Mbona ni askies

Paranoia niko nayo nikustep niko macho wazi
Nikiset jo ni moshi safi
Mziki imefanya sikosi kazi
Uh acha katambe kama una ngori basi
Manoti mingi kwa pori shaffie
Ni TK match sivai Versace

Man usitry sisi magwangi tupu hakuna kasisi
Si ni TK looku bado ni safi hakuna ka sisi
Namba nane 111, nimelinki na virusi
Mabani wote itabidi watii
Rap imejaa marookie aah

Sativa seti kwa kiko
Tema maverse ka Bishop
Bado unalack ambition
Mi ndo the man for the mission
Stay strong hadi mwisho aah

Marefa hawataki nishinde
So sitacheza na whistle
Mi ni danger bila pistol
Mi ni Messi we ni Esco
Unaniboo niko pissed off

Alijifanya kajanje mwishowe alizamwa katenje (Kajanje)
Alijifanya kajanje mwishowe alikosa walenje (Walenje)
Huyo sasa ako stenje anaripoti alizamwa hadi tonje
Huyo sasa ako stenje anaripoti alikosa hadi walenje

Jichanue kutoka rapa
Ju huku huskii walishakuchorea
Ni watu hawatambui chenye unazaa ndo wanalea
So hata ukizaa mzungu huskii wanamlea na ugali
Ulijifanya uko na spirits ukabatizwa na makali

So usitake ona mtaani venye watu wanazamwa hadharani
Unapeana simu na bado we ndo unaomba samahani
Hizi sides please bro usijichoche
Kwanza unaonekana mgeni ni ka haujui hizi machoche

Vijana waliomea pembe watakunyang'anya hio mkia
Na madem wamekula sembe hauskii watakuchangamkia
Mara ni tapo ni kichapo kilipepea
Alishikwa touch katululu kalipotea

Alichunwa naskia ni walenje ndo kalisonga
Na tonje alitolewa dikwara kalienda bila kubonga
Karibu huku kwetu kuna wasanii type mbili
Na wote wakitoa mic mikono juu vile inastahili ah

Alijifanya kajanje mwishowe alizamwa katenje (Kajanje)
Alijifanya kajanje mwishowe alikosa walenje (Walenje)
Huyo sasa ako stenje anaripoti alizamwa hadi tonje
Huyo sasa ako stenje anaripoti alikosa hadi walenje

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2020

Album : Kajanje (Single)

Copyright : (c) 2020

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

VIRUSI MBAYA

Kenya

Virusi Mbaya is a hiphop artist from Kenya, Kibera. ...

YOU MAY ALSO LIKE