Pumzika Lyrics

Sitaki pumzika, all I wanna do ni kukushika
Sitaki pumzika, all I wanna do ni be your pleaser, be your pleaser

Kifo kisimani, nikitamani kikali
Shakespear na mithali, mwisho we nipee zawadi
Ukinigusa wako specheli na taratibu
Duru za kuaminika nikikutaadhimu
Hisia ndilo liendo nishampata tabibu
Shamba la Edeni tuchume zabibu
Mi na manyatta mkuki wakanda
Fungua server bila masafa
Professionally mahaba makali
Ex mandazi, yuaimba nasi
Sitaki pumzika, all I wanna do ni kukushika
Sitaki pumzika, all I wanna do ni be your pleaser, be your pleaser
Sitaki pumzika, all I wanna do ni kukushika
Sitaki pumzika, all I wanna do ni be your pleaser, be your pleaser
Ujumbe umefika, I hear loud and clear
Njoo let me hakikisha, your fantasy natimiza
I stuck at moonlight, baby you got me feeling not to describe
And I never had to say it right
Fire in your eyes with me realize
Only you, you bring out this side of me
Only you, you read me like a diary
Nakupa moyo entirely
Sitaki pumzika, all I wanna do ni kukushika
Sitaki pumzika, all I wanna do ni be your pleaser, be your pleaser
Sitaki pumzika, all I wanna do ni kukushika
Sitaki pumzika, all I wanna do ni be your pleaser, be your pleaser
Only you baby, only you mpenzi
For the nature feeds
You are the one I need
You are the one I need
When the sunlight leave
Mpenzi you do to me
Sitaki pumzika, all I wanna do ni kukushika
Sitaki pumzika, all I wanna do ni be your pleaser, be your pleaser
Sitaki pumzika, all I wanna do ni kukushika
Sitaki pumzika, all I wanna do ni be your pleaser, be your pleaser
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nadrenaline (Album)
Copyright : (c) 2021 Decimal Records.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE