Home Search Countries Albums

Design Hii

VDJ JONES Feat. VUVA, MEJJA, JESHI JINGA

Design Hii Lyrics

Kingpheezle on the beat
Jeshi jinga, jembeteshe jeshi jinga
Josephyl, si unajua tu ni nani
(Superstar Records) Yao Yao
There can be only one king in the jungle
(Si unajua genje ni mbwaayaa)

Mi nadai kurelax na mayengs matings design hii
Mi nadai kujinyc na mabois mashash kitaxin
Si ujilete bas (Eeh), si ujilete bas design hii
Si ujilete bas (Eeh), si ujilete bas design hii

Okwonko!
Nimetulia na mandom na caretaker anaboo
Volume leo nachunisha hadi soo
Nikipewa notice mi simind
Leo ni good vibes na mangai
Kisha na warosho kwa baite
Nishike jaba na maboys tuchane
Naskia kuna peng wanakuja
Tuchange tutume za Uber
Leo ni kutema na kukuta
Si amejibeba Alexa play "Nyonya"

Mi nadai kurelax na mayengs matings design hii
Mi nadai kujinyc na mabois mashash kitaxin
Si ujilete bas (Eeh), si ujilete bas design hii
Si ujilete bas (Eeh), si ujilete bas design hii

Bas bas hebu katika, mikono chachisha aah
Ka ni moto tunawakisha ni kujinyc mamzinga tunazamisha
Usilegeze buda bana we itisha
Nikurelax na mapuff puff pass na tumejipin na makapa ka das
Hakuna kuswipe leo tunalipa cash

Tunaparty tukiserembeteka jo na magwanti
Ka galdema whine kulu kulu jumping
Napenda big but thumbututha wabling
Alumbu tutashimbitika na makali

Gate crush ndakutwara hambatani 
Ju ka ni shash nimejithembesha za chwani
Leo kuthembeteka diva wangapi
Nadai kale kanyombotoi ju niko na taki

Mi nadai kurelax na mayengs matings design hii
Mi nadai kujinyc na mabois mashash kitaxin
Si ujilete bas (Eeh), si ujilete bas design hii
Si ujilete bas (Eeh), si ujilete bas design hii

Staki namba mi nataka kukukuna
Kama pombe vile nakunywa mbotonya
Stambete fambatala piga kelele
Machumbutura zao ni kelele
Ukiambatasha sambatasha kitu nase
Zikishimbitika nakupamba tasa
Hambataga fambatala niko chasing
Ikijipita tunapatana niko blessing

We jilete nitakupiga miti ukitaka utete
Le ni kukata na mizinga nitepe
Madem wakibleki baadae niwateke
Ju zimeshika design mi nastager ka kiwete

Cheki looku tu ni fisa nimedunga fete
Na Pheezle amefunga beat kuliko Kamiti
Manyonyo wananibamba wako sete
Design wanakata kiuno kama chete

Mi nadai kurelax na mayengs matings design hii
Mi nadai kujinyc na mabois mashash kitaxin
Si ujilete bas (Eeh), si ujilete bas design hii
Si ujilete bas (Eeh), si ujilete bas design hii

Kidogo tu unanimaliza na mini
Kidogo tu unanichanganya akili
Umejibeba hadi umebebea majirani
We ni wa mtaa yetu na haujulikani

Mi napenda mamanzi chini ya maji
Kwanza tukae chini jo tukate maji
Umenibamba unakaa mtoto wa ubabini
Waiter kam kwanza utakunywa gani
Ati zii mzinga tu ya maji
Ama tutoke tutafte baze ya kushin
Kishawaka anauliza mi ni nani
Nimemshow mi ni chizi wa mziki

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2021

Album : Design Hii (Single)

Copyright : (c) 2021 SuperStar Entertainment Ke

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

VDJ JONES

Kenya

The Baddest VDJ outta KENYA,Bringing all genre mixes. Professionally produced and high quality for a ...

YOU MAY ALSO LIKE