Chechemea Lyrics

(Ihaji made It)
Baby mwenzio nakuzimia
Harufu yako asili kama uturi umenyuzia
Tena nina kuaminia
Fundi makirikiri uko kamili, mia kwa mia
Kila nikikuangalia naona nilichelewa wapi
Vitu unavyonigawia sijui ningevipata wapi
Unavyonidekeza ka mtoto
Sina chuki kwako nipo nipo
Ushaniduwaza lopo lopo baby
Na unavyonitumbua pimple pimple
Jonjo zako bed ziko simple
Huba lako OG sio local baby
Kwako nacheche chechemea
Oooh cheche chechemea
Mi na cheche chechemea
Oooh cheche chechemea
Mi nacheche chechemea
Oooh cheche chechemea
Mi na cheche chechemea
Oooh cheche chechemea
Shamba ukilima unalima husimami
Unafika mazima na hukwami
Safarini unadima ah dilami
Kivulini ushanitua juani
Kwako sina neno lingine
Nishaweka nukta sitazami kwingine
We ndio tabibu unatibbu vingine
Nitaweka bango wasione wengine
Unavyonidekeza ka mtoto
Sina chuki kwako nipo nipo
Ushaniduwaza lopo lopo baby
Na unavyonitumbua pimple pimple
Jonjo zako bed ziko simple
Huba lako OG sio local baby
Kwako nacheche chechemea
Oooh cheche chechemea
Mi na cheche chechemea
Oooh cheche chechemea
Mi nacheche chechemea
Oooh cheche chechemea
Mi na cheche chechemea
Oooh cheche chechemea
Cheche chechemea, ooh chechemea
Mi na cheche chechemea, hee chechemea
Cheche chechemea, oooh
Cheche chechemea, hee
Kwako nacheche chechemea
Oooh cheche chechemea
Mi na cheche chechemea
Oooh cheche chechemea
Mi nacheche chechemea
Oooh cheche chechemea
Mi na cheche chechemea
Oooh cheche chechemea
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Chechemea (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
JOVIAL
Kenya
Jovial , whose real name is Juliet Miriam Ayub is a Kenyan entertainer, singer, songwriter, vocalist ...
YOU MAY ALSO LIKE