Home Search Countries Albums

Chachisha

RICO GANG Feat. OCHUNGULO FAMILY

Chachisha Lyrics


 

Si unajua tu ni nani, waka waka waka waka
Si unajua tu ni nani, eeh man a badman ting
Si unajua tu ni nani, Ochungulo family

Safisha acha kuchachisha
Cheza chini buda unakatsia
Safisha acha kuchachisha
Unachoma unaburn una eeh eeh eh

Unachachi, chachi, chachi
Chachi, chachi, chachi, chachisha
Chachi, chachi, chachi
Chachi, chachi, chachi, chachisha

Eeh unaharibu, unachachisha
Nakuita form, eh unaniaibisha
Mamanzi umekam nao sura zinatisha
Ni maguzzler, wanachachisha
Zao hazishiki manze tei inaisha
Hey, yoh Roba ebu joh itisha
Juu watu wametii hiyo form imejipa

Hey yoh Dj, pull up selekta
Ma Odi wanadance wanatoa hadi shirts
Na mamanzi wanadance wanatoa under pants
Wanachoma, wanaburn wanachachisha
Pale social media tu ni mapicha
Snapchat, Insta tu ni mafilter

Izo pics na maphoto wanaedit wanacrop
Sijui photogrid, lightroom, photoshop
Iyo beat ikidrop wanadance tu na shorts 
ebu

Safisha acha kuchachisha
Cheza chini buda unakatsia
Safisha acha kuchachisha
Unachoma unaburn una eeh eeh eh

Unachachi, chachi, chachi
Chachi, chachi, chachi, chachisha
Chachi, chachi, chachi
Chachi, chachi, chachi, chachisha

Me nachachisha, unalalisha
Pararila mingi buda bakisha
Tuliwatisha tukiwakisha
Para za kunego tulizamisha
Buda kalisha, saka Aisha
Sijali shida zako za kimaisha
Mi na paisha, nikisafisha
Ukitaka kunicheki lola kwa picha

Ama washa kolo, washa kolo
Nataka nikucheki kila dakika
Na mtaani nisifike ka hujapika
Nitakatsika, sitajazika
Usibonge juu ya life ka hujazika
Toa pazia, songa kwa njia
Na pungi sitosheki ka haijawika
Kuna pahali unaguza tu nabambika aii

Safisha acha kuchachisha
Cheza chini buda unakatsia
Safisha acha kuchachisha
Unachoma unaburn una eeh eeh eh

Unachachi, chachi, chachi
Chachi, chachi, chachi, chachisha
Chachi, chachi, chachi
Chachi, chachi, chachi, chachisha

Niko mabima bima, kisinsimaa
Niko maubao pakua ka sima
Tukifika mtaa kuchimba kaa kisima
Ata nikimbao hii bado ni chuma ua

Eeey ABC cheki D
Hata ukue S siwezi tii
Eeey fine ass alizidi
Tangu niwache kugive an F nimekuwa G ati
Unapiga shot moja unazima
Tangu handshake, wanazidi kutupima
Madeni madeni, tumekuwa wa China

Unadai date hata hunijui jina
We ni msupa tu kwa picha(chachisha)
Kudandia form imejipa(chachisha)
Uko 12 years una mimba(chachisha)
Ati Rico ngoma zenu zinaaa...

Safisha acha kuchachisha
Cheza chini buda unakatsia
Safisha acha kuchachisha
Unachoma unaburn una eeh eeh eh

Unachachi, chachi, chachi
Chachi, chachi, chachi, chachisha
Chachi, chachi, chachi
Chachi, chachi, chachi, chachisha

Chachisha me nachachisha
Mokoro anajua me nachachisha
Waakisha me nawakilisha
South B mtaani, me nawakisha
Pakisha aaah wajanja
Buda unachoma unaivisha

Mashada na magala
Apa tunacheza tunachachisha
Cha cha cha cha chachishaaa, eeh Rico
Cha cha cha cha chachishaaa, eeh Ochungulo
Cha cha cha cha chachishaaa, eeh Wakawaka
Cha cha cha cha chachishaaa, eeh Badman ting

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Chachisha (Single)


Copyright : All rights to the owner.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

RICO GANG

Kenya

...

YOU MAY ALSO LIKE