Mpunguze Lyrics
(Touch Touch Touch)
Oh my
Ushkaji ushakaji noma sana
Washikaji wengi ni masnitch sana
Ushkaji gani kubishana nyuma
Ona tat na sudi wameshaharana jana
Mshikaji vipi
Nikiondola kisogoni mnaning'onga
Yaani kwani vipi?
Mnaropoka hadharani nakuona
Mshikaji gani nikikosa mwana nikipata unavunja
Nikizipata unataka ule nao ila zenu mnavunga
Sio mwanangu nishakudelete
Nishajua kuwa we snitch
Unamkuwadia dem wangu vipi?
Kigegu unakataa kulipa
Kama rafiki humwelewi, mpunguze
Kuropoka ropoka hachelewi, mpunguze
Ukimuona sio, mpunguze
Anapenda mademu wa wenzio, mpunguze
Anapenda bata hana kazi, mpunguze
Rafiki gani huyu dwanzi, mpunguze
Rafiki gani kwenye raha, mpunguze
Kwenye shida mbali anakaa, mpunguze
Yeah kuna tofauti ya mwana na rafiki yeah
Mwana wa wsaliti, mwana anaweza kuwa mcheshi kumbe ni mnafiki
Mwana akipata kidogo anajiona pipi
Mwana haambiliki sasa huyu ni mwana au ni kiti
Nishaikuwa na mwana fulani hivi
Tz tunavizia kujiona kwenye TV
Tulicho mshamba ka zubeda prof chizi
Uliza siku hizi nani ananipimbia kama pisi na ni mchizi
Mwana gani anakukata mkono, mwana hanyamazi mpaka ananuka mdomo
Anasambaza umbea kama anakufanyia promo
Na wewe mnyenyekevu kama mwali uko na somo
So wana wa kuzushia punguza, masnitch punguza
Wana wa virungu mi mwenyewe nishawapunguza
Wana wa kuropoka ndio nuksi ukimwona mpenzi wangu ako na mchizi
Ukiniambia nakupunguza pumbavu
Kama rafiki humwelewi, mpunguze
Kuropokaropoka hachelewi, mpunguze
Ukimuona sio, mpunguze
Anapenda mademu wa wenzio, mpunguze
Anapenda bata hana kazi, mpunguze
Rafiki gani huyu dwanzi, mpunguze
Rafiki gani kwenye raha, mpunguze
Kwenye shida mbali anakaa, mpunguze
(Take 5 now)
Kama rafiki humwelewi, mpunguze
Kuropokaropoka hachelewi, mpunguze
Ukimuona sio, mpunguze
Anapenda mademu wa wenzio, mpunguze
Anapenda bata hana kazi, mpunguze
Rafiki gani huyu dwanzi, mpunguze
Rafiki gani kwenye raha, mpunguze
Kwenye shida mbali anakaa, mpunguze
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Mpunguze (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
TUNDA MAN
Tanzania
Tunda Man is a Bongo flava artist from Tanzania. He is a member of the music group called Tip T ...
YOU MAY ALSO LIKE