Home Search Countries Albums

Kuwamalo

TRIO MIO

Read en Translation

Kuwamalo Lyrics


Waist iko snatched na ka thigh gap i like that

Haga imegrow ako na lines like a tiger

Matime na penda kuzigrab nikirhvime na

Penda ukiwa na gloss na eyeliner wallahi na

Bado bila make up kamevai na

Kaufika wadhii na mathree kuchambua madesigner

Kausela exhibition ni machine

Kausema mamwere ni madwanzi na wafai kupewa

Mpoa wa eastlando

Umojthing sango

Kanabonga chafu ka

Mitaro za bangu jangu

Nikoroll na ye ni kuwamalo

Nikoroll na ye ni kuwafinish kuwamalo

Kuwafinish kuwamalo

Kuwafinish kuwamalo

Uski tunawamurder

Kuwafinish kuwamalo

Kuwafinish kuwamalo

Uski tunawamurder dem murder dem

Kuwafinish kuwamalo

Kuwafinish kuwamalo

Uski tunawamurder

Kuwafinish kuwamalo

Kuwafinish kuwamalo

Apo sasa

Apo sasa

Apo sasa

Msupa ana chachisha

Zangu zime nishika

Niko juu ya indica

But ni ye ananichizisha

Oooh matisha

Moto anani pandisha

Vile ana tingisha

Aki ananimaliza uugh

Kuwafinish kuwa murder dem

Combi ya mali fisa na the wonder kid

Mjanja si kama hawa madem

Yee hucheza kibromine kama halogen

Nikisota pori anani kania dem

Mpoa anani kania dem

Mpoa wa eastlando

Umojhing sango

Kanabonga chafu ka

Mitaro za bangu jangu

Nikoroll na ye ni kuwamalo

Nikoroll na ye ni kuwafinish kuwamalo

Kuwafinish kuwamalo

Kuwafinish kuwamalo

Uski tunawamurder

Kuwafinish kuwamalo

Kuwafinish kuwamalo

Uski tunawamurder dem murder dem

Kuwafinish kuwamalo

Kuwafinish kuwamalo

Uski tunawamurder

Kuwafinish kuwamalo

Kuwafinish kuwamalo

Apo sasa

Apo sasa

Apo sasa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2024


Album : (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

TRIO MIO

Kenya

Trio Mio real name TJ Mario Kasela also known as T.J (Thank you Jesus) or "Mkurugenzi ...

YOU MAY ALSO LIKE