Zogo Lyrics
Tip toe, tip tip toe
Mathaa imefika niku tip tip toe
Tip toe, tip tip toe
Mathaa imefika niku tip tip toe
Tip toe, tip tip toe
Mathaa imefika niku tip tip toe
Tip toe, tip tip toe
Mathaa imefika niku tip tip toe
Siwezi cock na nikose kunyambisha
Siwezi rise marima na wajinga
Ka ni zogo tuwashona kuwazika
Na warazi hizi rima pigwa finger
Siwezi cock na nikose kunyambisha
Siwezi rise marima na wajinga
Ka ni zogo tuwashona kuwazika
Na warazi hizi rima pigwa finger
[Dullah]
Kuna kitu ulidu ukidhani ni ya ukuu
Na hio kitu ulidu sai unajua ni ya uduu
Unapiga hadi salaa na umekosa kanzu
Ni hard kutoka area ndo ati uende majuu
So sad ukiongea unaskizwa sai tu
Go thru' na hizo vitu unaongea unajua hu go thru'
Ukidai kusongewa ubaki we fool
Sidai kusomea sidai kwenda school
Siwezi cock na nikose kunyambisha
Siwezi rise marima na wajinga
Ka ni zogo kuwashona kuwazika
Na warazi hizi rima pigwa finger
Siwezi cock na nikose kunyambisha
Siwezi rise marima na wajinga
Ka ni zogo kuwashona kuwazika
Na warazi hizi rima pigwa finger
Riang riang si ukam
Riang riang ni gani
Kuna morio amenichai ganji
Morio mgani ameleta utiaji
Ule morio ulimdry manzi
Amekam akileta ubani
Aii jo manze huskii chaji
Watakang'wa sa uskize watabaki
Siwezi cock na nikose kunyambisha
Siwezi rise marima na wajinga
Ka ni zogo tuwashona kuwazika
Na warazi hizi rima pigwa finger
Siwezi cock na nikose kunyambisha
Siwezi rise marima na wajinga
Ka ni zogo tuwashona kuwazika
Na warazi hizi rima pigwa finger
Kila rima kila mtu ako na morio
Hizi pande wa kukata madogogio
Hizi pande huwezi dishi bila chaji
Tupa rada na magwangi wakuchai
Kata maji usilete za kuchoma
Niko na mbao nimebakisha salopa
Ya kuchoma ya kuliet na kikola
Luku plain napenda hio toja
Siwezi cock na nikose kunyambisha
Siwezi rise marima na wajinga
Ka ni zogo tuwashona kuwazika
Na warazi hizi rima pigwa finger
Siwezi cock na nikose kunyambisha
Siwezi rise marima na wajinga
Ka ni zogo tuwashona kuwazika
Na warazi hizi rima pigwa finger
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Zogo (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
SWAT
Kenya
Swat Mtoto wa Eunice real name Boniface Mwangi (Born April 18th, 1997) is an a ...
YOU MAY ALSO LIKE