Ready Lyrics
Kama ua nikuoteshe
Mazuri nikuonyeshe
Mi kwako dalili ya wingu
Mvua ya upendo nikuonyeshe
Kama kisogo nikuonjeshe
Mahaba nikuloweshe
Queen in my heart
Nishike mkono nifuate zako da-
Hii ndo, hii ndo inapenda kweli
Hivyo hivyo moyo si tapeli
Mdo mdogo sio ni tufeli
Nina malengo nawe
Uo uongo, ukoleze beiby
You go, you go nitaumia beiby
Nafungua moyo kwa ndani
Nakupa langu tumaini
Oooh beiby, aiyayayayaya
Are you ready?
Just tell me no
Mami niko kwa ajili yako, aiyayaya
Oooh, aiyayayayaya
Niko tiyari
Just tell me no
Mami niko kwa ajili yako, aiyayaya
[Khaligraph]
Uh we ni zawadi toka Baba above
I can't believe it umenigeuza sakafu mama
Na they say opposite the track nisome data na thug
Anytime I see you siezi mind hata ka hug
Vile umejibeba kwanza unapendeza
Vile umejicarry is for ever we be together
Ju we ndo nitamarry ama
Na watiaji si wakome kome
I don't know why wanachuki hawataki nikuone
Woun't you smile for me, I love it when I'm on it
Love how you scream my name when I hit it in the morning
And did I mention -- manze unanibamba
We ndo you drive me crazy nishafunga mikanda
Woun't you believe it when I say niko kwa ajili yako
Cause of my reputation utadhani ni vako
But niamini nyako ---
Till the end of time ujue we ndo napea macho
Oooh beiby, aiyayayayaya
Are you ready?
Just tell me no
Mami niko kwa ajili yako, aiyayaya
Oooh, aiyayayayaya
Niko tiyari
Just tell me no
Mami niko kwa ajili yako, aiyayaya
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Ready
Copyright : (c) 2018
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
TOMMY FLAVOUR
Tanzania
Tommy Flavour is a singer, songwriter/ artist from Tanzania. Signed under Kings Music. ...
YOU MAY ALSO LIKE